Sawa dia...Asante.Jaribu kuchukua white vinegar changanya na baking powder and then chukua toilet paper loweka huo mchanganyiko halafu bandika sehemu yenye rangi au sink lote iache usku kucha mpaka asubuhi then sugua inaweza kukusaidia.
DahSugua na bodyspray hutojutia.
Bodyspry yoyote?Sugua na bodyspray hutojutia.
Tumia dawa ya mswakiHabari za muda huu, naomba kujua njia za kusafisha sinki langu, nmetumia Aro imegoma, nimetumia sabuni zaidi ya 3, nimetumia cocacola imegoma.
CHANZO: Manjano ya uso yalimwagika sehemu ya sinki, yalikaa muda kama week mbili, nilivyorudi nasafisha paweka weusi, Ndio naangaika kuutoa umegoma, msaada anayejua.