Dawa gani ya furmigation ina nguvu ya kuuwa malaria kwa miez 6 nisipulize tena?

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,384
Wakuu salaaam,
Naona malaria utaniulia bint yangu (2.5yrs), naomba msaada wa jina la dawa au brand ambayo nanaweza fanya furmigation katika nyumba nzima na maeneo ya kipenyo cha mita 50 ili niokoe hali ya familia yangu. Na pia kama una kampuni ama unafaham tu wapi wanatoa hiyo huduma nitafurah sana kupata,makazi yangu ni Nyamanoro mwanza
 
au kama uko kwako kuna matatizo ya Umeme ugao wa umeme unaweza pia kununuwa hii Taa inayotumia umeme wa jua itakusaidia kuwafukuza hao Mbu nyumbani kwako angalia picha yake hapo chini

spacer.gif
spacer.gif
spacer.gif
2937e400ff7709ea7d6b13502103f92f.jpg

8b734e1162d708d4ad933010849a231d-med
westinghouse_solar_bug_killer_6.jpg

No chemicals! Eco-friendly way to keep mosquitoes away. Mosquitoes won't be welcome at your outdoor gathering with this solar insect wacker on duty. Uses clean solar power—no operating expenses! Effective control for up to -3/4 acre. No wires,

cords, smelly candles or nasty fumigators. And no more bites! This quiet bug zapper uses clean, free solar power to eliminate annoying and potentially harmful mosquitoes. Purple lights come on automatically at dusk to draw the insects in. They don't

stand a chance against the high-voltage zapper that awaits. Easily portable, it's ideal for backyard barbecues, beach parties, picnics—even camping trips. High-efficiency solar panel even charges the batteries on cloudy days. Energy-saving LEDs never need replacing

Chanzo.
Solar Insect Wacker | Solutions
 
Jerrymsigwa ameuliza aina ya kiatilifu cha kuweka Kama dawa ya ukoka hapa anajibiwa machine ya kukamata mbu. Kumbuka kuna shida ya usugu wa mbu zidi ya dawa nyingi. Unaweza tumia DDT ama Deltamethrin. IRS huweza kufaa kwa miezi sita
 
Last edited by a moderator:

mkuu hebu fafanua zaidi, wapi napata Deltamethrin? na pia IRS ni nini hii? DDT naikubali bt mh ile harufu, inaweza ikafanya watoto wabanwe na kifua.
 
Pole mkuu, IRS inasimama kwenye maneno haya indoor residual spray, ufanyaji wa fumigation kwenye nyumba. Maduka makubwa ya madawa unaweza ipata bila shida hiyo Deltamethrin.
 
Jerrymsigwa ameuliza aina ya kiatilifu cha kuweka Kama dawa ya ukoka hapa anajibiwa machine ya kukamata mbu. Kumbuka kuna shida ya usugu wa mbu zidi ya dawa nyingi. Unaweza tumia DDT ama Deltamethrin. IRS huweza kufaa kwa miezi sita
Mkuu Masanilo Kungelikuwa na Dawa ya kumaliza hao Mbu Basi Serikali ingeliweza Zamani kumaliza matatizo ya ugonjwa wa Malaria. Serikali yetu imeshindwa kulitatua hili Tatizo sugu la Hao Mbu na Maradhi ya Malaria inazidi kutafuta Dawa wakati njia rahisi ni kumaliza sehemu wanapozaliana hao Mbu hebu tembelea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/500520-tiba-ya-malaria-bado-inatupiga-chenga.html
 
Kamanda there's no political will to tackle malaria na hasa kwenye vector control measures. Kila kitu Sisi tunataka Msaada wa wamarekani, ni aibu Kikwete kuomba vyandarua kwa George Bush. kumbuka mbu ni zaidi ya malaria, kuna dengue, yellow fever, lift valley fever na hata Chikungunya. Dawa mseto (ALU) bado inafanya kazi vizuri sema kuna issue ya counterfeit Antimalarials sokoni. Issue ya quinine inajulikana sema mwandishi wa hiyo habari Hana weredi.
 
au kama uko kwako kuna matatizo ya Umeme ugao wa umeme unaweza pia kununuwa hii Taa inayotumia umeme wa jua itakusaidia kuwafukuza hao Mbu nyumbani kwako angalia picha yake hapo chini

spacer.gif
spacer.gif
spacer.gif
2937e400ff7709ea7d6b13502103f92f.jpg

8b734e1162d708d4ad933010849a231d-med
westinghouse_solar_bug_killer_6.jpg

No chemicals! Eco-friendly way to keep mosquitoes away. Mosquitoes won't be welcome at your outdoor gathering with this solar insect wacker on duty. Uses clean solar power—no operating expenses! Effective control for up to -3/4 acre. No wires,

cords, smelly candles or nasty fumigators. And no more bites! This quiet bug zapper uses clean, free solar power to eliminate annoying and potentially harmful mosquitoes. Purple lights come on automatically at dusk to draw the insects in. They don't

stand a chance against the high-voltage zapper that awaits. Easily portable, it's ideal for backyard barbecues, beach parties, picnics—even camping trips. High-efficiency solar panel even charges the batteries on cloudy days. Energy-saving LEDs never need replacing

Chanzo.
Solar Insect Wacker | Solutions

Kaka hiyo taa inaptikana wapi?
Na je nikiitaka nitauluzia nini?
 
Kaka hiyo taa inaptikana wapi?
Na je nikiitaka nitauluzia nini?
Mkuu Chamamu Hii Taa inapatikana bonyeza hapa Solar Insect Wacker | Solutions itabidi uwe na viza card na uji rejiste kwenye hiyo website yao ndio unaweza kuwatumia pesa na kuwapa Address yako wakakuletea. La kama unataka mimi nikusaidie itabidi uniandikie barua ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com tupate kuzungumza mimi na wewe kibiashara unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu salaaam,
Naona malaria utaniulia bint yangu (2.5yrs), naomba msaada wa jina la dawa au brand ambayo nanaweza fanya furmigation katika nyumba nzima na maeneo ya kipenyo cha mita 50 ili niokoe hali ya familia yangu. Na pia kama una kampuni ama unafaham tu wapi wanatoa hiyo huduma nitafurah sana kupata,makazi yangu ni Nyamanoro mwanza

Best dawa DDT lakini ndio hivyo wazungu waliipiga chini ....
 
Kamanda there's no political will to tackle malaria na hasa kwenye vector control measures. Kila kitu Sisi tunataka Msaada wa wamarekani, ni aibu Kikwete kuomba vyandarua kwa George Bush. kumbuka mbu ni zaidi ya malaria, kuna dengue, yellow fever, lift valley fever na hata Chikungunya. Dawa mseto (ALU) bado inafanya kazi vizuri sema kuna issue ya counterfeit Antimalarials sokoni. Issue ya quinine inajulikana sema mwandishi wa hiyo habari Hana weredi.
Mkuu Masanilo

Kwa Maelezo uliyoyasema Serikali inajuwa inachokifanya kuhusu kuutokomeza Ugonjwa wa Malaria na hao Mbu wanaosababisha huo ugonjwa. Lakini

Serikali haifanyi vile amabavyo wananchi wanavyotaka? Serikali inangojea wakati wa kampeni ya Uchaguzi Mkuu, ndipo wanapolizungumzia hili

tatizo sugu la Ugonjwa wa Malaria pamoja na hao Mbu wanaosababisha Malaria. Na kutoa ahadi hewa ili wapate kushinda uchaguzi

mkuu? Je Vipi upande wa Kambi ya wapinzani bungeni wameshalizungumzia hili tatizo sugu la ugonjwa wa Malaria pamoja na kuwangamiza hao wadudu Mbu?
 
Mkuu Jerrymsigwa Tafuta Mashine kama hii itakusaidia kuuwa hao mbu kwa haraka zaidi angalia video hapo chini.

Aisee asante sana, hakika nitafuatilia ninunue hata kwa ebay! Hawa mbu wadogo lakini ni hatari sana kwa watoto. Natanguliza shukrani
 
Last edited by a moderator:
Aisee asante sana, hakika nitafuatilia ninunue hata kwa ebay! Hawa mbu wadogo lakini ni hatari sana kwa watoto. Natanguliza shukrani
Mkuu Jerrymsigwa ukinunuwa hii Taa ya Blue basi matatizo yako ya Mbu yatakuwa yamekwisha hapo nyumbani kwako kuliko kutumia Dawa ya kupuliza hiyo taa haina madhara kwa binadamu ili mradi uwe na umeme tu ninakutakia kila la kheri inshallah.
 
Aisee asante sana, hakika nitafuatilia ninunue hata kwa ebay! Hawa mbu wadogo lakini ni hatari sana kwa watoto. Natanguliza shukrani

Kaka pia make sure kuwa mazingira yanayozunguka pale home hayana mazalia ya mbu. Kama mazalia yatakuwepo basi kaz ya kuwakomesha mbu haitafanikiwa...
 
nawapongeza sana wachangiaji na mleta uzi kwa hizi njia zitolewazo za kujikinga dhidi ya malaria hapa JF
 
Pole mkuu, IRS inasimama kwenye maneno haya indoor residual spray, ufanyaji wa fumigation kwenye nyumba. Maduka makubwa ya madawa unaweza ipata bila shida hiyo Deltamethrin.

mkuu hebu nielekeze duka la karibu hapa dar napoweza pata hii kitu, nataka kufumigate nje as ndani naona itakuwa risk kwa watoto
 
Back
Top Bottom