Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani unataka kaa na nywele miezi mingapi😁 tafuta dangaWarembo wa jukwaa hili naomba kujua dawa au spray ya kusafishia nywele zilizosukwa ili kutokuwa na uvundoo.
Asanteni
Yaaaani 😆😆😆mi vilinishinda kwa kweliAsante mwaya
Saa hv joto sana siku 3 tu mtihani
Naomba nikudangieKwani unataka kaa na nywele miezi mingapi😁 tafuta danga
Zikitoa harufu fumua osha suka zingneNakosaje hela ya kusuka sasa jaman
PmNaomba nikudangie
Suka mkataba ili uwe free kuosha mara kwa maraKunyoa siwezii
Kutokusuka pia siwezi
Dah jua nalo kaliii
Laki Ni hela😀Me napenda nywele nyingii kichwani na sio Knotless wala vibutu wala twist. Halafu ni za ku tie
Yan nywele ya laki nifumue baada ya week?
Tafuta hela acha umasikiniKwangu kubwa
Haya kalale
Hapo mtihani 😅😅inabidi ujifunze nywele zingine pia my wangu 😅😅 au switch kwa wigsMe napenda nywele nyingii kichwani na sio Knotless wala vibutu wala twist. Halafu ni za ku tie
Yan nywele ya laki nifumue baada ya week?