Dawa gani ya kusafishia nywele iliyosukwa isiwe na harufu ya uvundo?

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,778
Reaction score
21,010
Warembo wa jukwaa hili naomba kujua dawa au spray ya kusafishia nywele zilizosukwa ili kutokuwa na uvundoo.

Asanteni
 
Spray ya dukani au ya maji ya mpeta au mchaichai na mafuta kidog unayopaka

Ila jitahidi kuziacha wazi zipate hewa
 
Spray ya dukani au ya maji ya mpeta au mchaichai na mafuta kidog unayopaka

Ila jitahidi kuziacha wazi zipate hewa
Asante mwaya
Saa hv joto sana siku 3 tu mtihani
 
Suka mkataba ili uwe free kuosha mara kwa mara
Me napenda nywele nyingii kichwani na sio Knotless wala vibutu wala twist. Halafu ni za ku tie
Yan nywele ya laki nifumue baada ya week?
 
Me napenda nywele nyingii kichwani na sio Knotless wala vibutu wala twist. Halafu ni za ku tie
Yan nywele ya laki nifumue baada ya week?
Hapo mtihani ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…inabidi ujifunze nywele zingine pia my wangu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… au switch kwa wigs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ