pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
kuna Mgonjwa anaeishi na maabukizi inasemekana aligundulika mapema akashauriwa atumie dawa baadae alipoona ananguvu akaacha bila ushauri wa doctor sasa amezidiwa na tumempeleka hospital naona katundikiwa drip tu, sasa kama kuna mtaalam anisaidie kama kuna mtu anajua chochote kinachoweza kumpandishia cd4 ani pm make ziko chini sana.

Upo mkoa gani? Kuna dawa flani naona inasaidia wengi naweza kukuelekeza umchukulie
Mkuu kwanza tambua kuwa huyo mgonjwa wako alikosea sana
kukatiza dozi (anaweka hali ya usugu kwa vimsela vinavyomtafuna)
Pia inabidi kujua kiwango cha CD4 zake mwilini mpaka sasa (hiyo kazi ya dr. hapo hosp)
Pia kwa upande wa vitu vya kupandisha CD4 kwa vitu vya asili ni kama kunywa
juice ya ubuyu, juice ya karoti, juice ya ukwaju, kula mayai ya kware, mboga za majani
kwa wingi .
Kwa sasa naishia hapo , ila pole sana kwa maswahibu yanayokusibu mkuu.
CD4 ziko ngapi?
kuna Mgonjwa anaeishi na maabukizi inasemekana aligundulika mapema akashauriwa atumie dawa baadae alipoona ananguvu akaacha bila ushauri wa doctor sasa amezidiwa na tumempeleka hospital naona katundikiwa drip tu, sasa kama kuna mtaalam anisaidie kama kuna mtu anajua chochote kinachoweza kumpandishia cd4 ani pm make ziko chini sana.
Akisha toka Hospitali ukitaka Dawa ya kumponyesha huo ugonjwa wake awe HIV Negative mimi Dawa ninayo unaweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.Mawasilianozipo 49
zipo 49
Duuh 49? kuna product moja niliiona imetengenezwa kwa kutumia Colostrum,nasikia inasaidia kuboost levels za CD4 cells
Ngoja nifuatilie jina lake utaenda kuitafuta pharmacy yoyote kubwa