pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
kuna Mgonjwa anaeishi na maabukizi inasemekana aligundulika mapema akashauriwa atumie dawa baadae alipoona ananguvu akaacha bila ushauri wa doctor sasa amezidiwa na tumempeleka hospital naona katundikiwa drip tu, sasa kama kuna mtaalam anisaidie kama kuna mtu anajua chochote kinachoweza kumpandishia cd4 ani pm make ziko chini sana.