Dawa hii ya kutuliza maumivu inaua maelfu kila mwaka

View attachment 367425

Matumizi ya mda mrefu ya dozi za kutuliza maumivu kama vile ibuprofen au diclofenac ina madhara katika suala la shambulio la moyo kama vile matumizi ya madawa ya Vioxx ambayo yalizuiwa kutumika kutokana na hatari kubwa zilizonazo- Utafiti ulisema

Kuna wakati unaweza kuwa unajisikia vibaya na maumivu katika mwili,kipindi hiki mtu anaanza kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa maumivu-badala ya kufikiria njia nzuri ya afya, tunajikuta tunaenda kwenye maduka ya dawa na kununua dawa za kutuliza maumivu bila hata ya ushauri wowote wa daktari
Unajua nini madhara yake-kama unapenda kutumia dawa za kutuliza maumivu mara kwa mara,sio tu maumivu unayokwenda kuyatuliza

Kama ukitumia dawa inayoitwa Ibuprofen,kama tulivyoielezea, wanasayansi wanaihusisha na
petrochemical ambayo ni hatari sana kwa kukuletea mashambulio ya moyo au ugonjwa wa moyo na uwezekano mkubwa wa kukusababishia kifo (kama ukitumia pamoja na aspirin),ukitumia dozi mbili kuna madhara makubwa ya afya unayoweza kuyapata;
-Upungufu wa damu
-Uharibifu wa DNA
-Kutosikia vizuri
-Shinikizo la damu
-Vifo kwa kupata mafua
-Kuharibika kwa mimba

Kama Ibuprofen,pia madawa mengine ya NSAIDS(non-steroidal anti-inflammatory drugs) yana matokeo mabaya na yanaweza kukuletea magonjwa ya moyo na vifo

chanzo.Dawa hii ya kutuliza maumivu inaua maelfu kila mwaka - Kwetustar
Sasa tutumie nini badala yake?
 
Kipi bora kati ya kuchemsha magome ya mti wa Cinchona na kunywa na kuchomwa quinine ?
Bora ni kuchemsha huo Magome ya mti wa Cinchona kuliko kunyw akidonge cha sumu ya quinine Soma hapo chini Madhara ya kutumia dawa quinine kiafya ya binadamu.
Quinine

Side Effects
Mild headache, flushing, unusual sweating, nausea, ringing in the ears, decreased hearing, dizziness, blurred vision, and temporary changes in color vision may occur. If any of these effects persist after your treatment is finished, or if these effects worsen while taking the medication, tell your doctor or pharmacist promptly.

Quinine may cause low blood sugar (hypoglycemia), especially during pregnancy. Symptoms of low blood sugar include sudden sweating, shaking, fast heartbeat,hunger, blurred vision, dizziness, or tingling hands/feet. If symptoms of low blood sugar occur, increase your blood sugar by eating a quick source of sugar such as table sugar, honey, or candy, or drink fruit juice or non-diet soda. Tell your doctor right away about the reaction and the use of this product.

Remember that your doctor has prescribed this medication because he or she has judged that the benefit to you is greater than the risk of side effects. Many people using this medication do not have serious side effects.

Tell your doctor right away if any of these rare but very serious side effects occur: easy bruising/bleeding, unusual purple/brown/red spots on the skin, signs of serious infection (such as high fever, severe chills, persistent sore throat), signs of a sudden loss of red blood cells called hemolytic anemia (such as severe tiredness, brown urine, pale lips/nails/skin, rapid breathing at rest), signs of severe liver problems (such as persistent nausea/vomiting, abdominal pain, severe weakness, yellow skin/eyes, unusually dark urine), signs of kidney problems (such as change in the amount of urine).

Seek immediate medical attention if any of these rare but very serious side effects occur: chest pain, severe dizziness, fainting, fast/irregular heartbeat, blindness.

A very serious allergic reaction to this drug is rare. However, seek immediate medical attention if you notice any symptoms of a serious allergic reaction, including: rash,itching/swelling (especially of the face/tongue/throat), severe dizziness, trouble breathing.

This is not a complete list of possible side effects. If you notice other effects not listed above, contact your doctor or pharmacist.

In the US -

Call your doctor for medical advice about side effects. You may report side effects to FDA at 1-800-FDA-1088 or at www.fda.gov/medwatch.

In Canada - Call your doctor for medical advice about side effects. You may report side effects to Health Canada at 1-866-234-2345.

List quinine side effects by likelihood and severity.
source.quinine oral : Uses, Side Effects, Interactions, Pictures, Warnings & Dosing - WebMD

quinine-tabs.jpg

Sasa tutumie nini badala yake?
Tumia moja wapo hapo chini...........

NATURAL PAIN KILLER.jpg

Tumia chai ya Tangawizi kama una maumivu ya misuli,Tumia Siki ya Apple kama unayo maradhi ya kiungulia unachanganya na maji ya uvuguvugu siki kijiko 1 unatia na maji hayo ya uvuguvugu glasi 1 unakoroga na kunywa,Kama unayo maradhi ya jino Twanga karafuu upate unga weak kwenye jino litatulia,kama una maradhi ya masikio kutoa usaha au kuwashwa kwa ndani saga kitunguu saumu upate maji yake weka Drop ndani ya masikio asubuhi mchana an usiku siku 3 utapoan. kama unayo matatizo ya kuumwa na tumbo kula samaki na kama unayo maradhi ya viungo kuuma kula matunda ya cherries.
 
Bora ni kuchemsha huo Magome ya mti wa Cinchona kuliko kunyw akidonge cha sumu ya quinine Soma hapo chini Madhara ya kutumia dawa quinine kiafya ya binadamu.
Quinine

Side Effects
Mild headache, flushing, unusual sweating, nausea, ringing in the ears, decreased hearing, dizziness, blurred vision, and temporary changes in color vision may occur. If any of these effects persist after your treatment is finished, or if these effects worsen while taking the medication, tell your doctor or pharmacist promptly.

Quinine may cause low blood sugar (hypoglycemia), especially during pregnancy. Symptoms of low blood sugar include sudden sweating, shaking, fast heartbeat,hunger, blurred vision, dizziness, or tingling hands/feet. If symptoms of low blood sugar occur, increase your blood sugar by eating a quick source of sugar such as table sugar, honey, or candy, or drink fruit juice or non-diet soda. Tell your doctor right away about the reaction and the use of this product.

Remember that your doctor has prescribed this medication because he or she has judged that the benefit to you is greater than the risk of side effects. Many people using this medication do not have serious side effects.

Tell your doctor right away if any of these rare but very serious side effects occur: easy bruising/bleeding, unusual purple/brown/red spots on the skin, signs of serious infection (such as high fever, severe chills, persistent sore throat), signs of a sudden loss of red blood cells called hemolytic anemia (such as severe tiredness, brown urine, pale lips/nails/skin, rapid breathing at rest), signs of severe liver problems (such as persistent nausea/vomiting, abdominal pain, severe weakness, yellow skin/eyes, unusually dark urine), signs of kidney problems (such as change in the amount of urine).

Seek immediate medical attention if any of these rare but very serious side effects occur: chest pain, severe dizziness, fainting, fast/irregular heartbeat, blindness.

A very serious allergic reaction to this drug is rare. However, seek immediate medical attention if you notice any symptoms of a serious allergic reaction, including: rash,itching/swelling (especially of the face/tongue/throat), severe dizziness, trouble breathing.

This is not a complete list of possible side effects. If you notice other effects not listed above, contact your doctor or pharmacist.

In the US -

Call your doctor for medical advice about side effects. You may report side effects to FDA at 1-800-FDA-1088 or at www.fda.gov/medwatch.

In Canada - Call your doctor for medical advice about side effects. You may report side effects to Health Canada at 1-866-234-2345.

List quinine side effects by likelihood and severity.
source.quinine oral : Uses, Side Effects, Interactions, Pictures, Warnings & Dosing - WebMD

View attachment 369287

Sasa mkuu mbona magome ya mti wa Cinchona yana kiwango kizuri tu cha Quinine na yanatumika commercially kuextract Quinine hii tunayotumia

Unalizungumziaje hili?
 
Huwezi kufananisha Magome ya Mti wa Cinchona na dawa ya Quinine kuwa ni sawa sawa? Dawa ya Quinine inatengenezwa Hospitali unajuwa Dawa ina (Expire Date) kuisha kwa matumizi yake je magome yana Expire Date? Umekwenda shule Mkuu? samahani kama nimekukwaza.
 
Huwezi kufananisha Magome ya Mti wa Cinchona na dawa ya Quinine kuw ani sawa sawa? Dawa inatendengezwa Hospitali unajuwa Dawa ina (Expire Date) kuisha matumizi yake je magome yana Expire Date? Umekwenda shule Mkuu? samahani kama nimekukwaza.

Hujanikwaza wala,

Kwenye viwanda wanatumia Cinchona Barks wanaextract Quinine na kuipurify na kuipack vizuri.Hata chakula nyumbani kikipikwa kina expire date beyond which huwezi kukila tena

Sasa swali langu ni,kuna tofauti gani kati ya kunywa Quinine iliyo kwenye magome na hii iliyo mahospitali

Karibu mkuu
 
Tumia iliyo ukinyw amagome ya Cinchona unakunywa kitu kipo Natural alicho kiumbe Mungu hakina madhara.Tofauti na kunywa Dawa ya Quinine yenye madhara na ni Sumu ya kutengenezwa na binadamu kwani hiyo Quinine ni sumu inakutibu na kuuwa baadhi Cell mwilini mwako.Kama umenielewa sawa la kama hujanielewa nimeishia hapo. Ni Sawa na mtu akiumwa kichwa anakunywa Aspirini vidonge 2 hivyo vidonge vitamtibu maradhi ya kichwa ila vitadhuru baadhi ya Cell mwilini mwake . Mimi Mtu akiumwa na kichwa nina mpa Lozi (Almonds) 12 jamii ya njugu za kizungu na atapoına kichwa bila ya kupata madhara mengine. Ushahidi angalia picha hapo chini.

Almond kwa kutibu maradhi ya kichwa.jpg
 
Akinywa Vinegar Vijiko 2 kikubwa achanganye na Asali kijiko 1 kikubwa na Glasi 1 ya maji ya uvuguvugu akoroge vizuri kisha anywe itaweza kumsaidia mkuu
Nimeipenda hiyo, what if akinywa yenyewe pasipo kuchanganywa. Nini inaweza kuwa madhara yake?
 
Back
Top Bottom