Mhusika alishauriwa kutumia mkongoraa kama sikosei na rafiki yake ambaye ilimsaidia kwa matatizo hayo, lakini huyo rafiki ameshindwa kutaja inapatikana wapi kwa kuwa yeye alipewa tu.
Kama kuna mwanajukwaa anafahamu wapi inapatikana na kwa bei ipi basi asisite kutoa msaada hapa