Dawa hii ya tumbo la kuhara na harufu mbaya ya kinywa inatafutwa

Dawa hii ya tumbo la kuhara na harufu mbaya ya kinywa inatafutwa

gasgas

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
1,092
Reaction score
986
Mhusika alishauriwa kutumia mkongoraa kama sikosei na rafiki yake ambaye ilimsaidia kwa matatizo hayo, lakini huyo rafiki ameshindwa kutaja inapatikana wapi kwa kuwa yeye alipewa tu.

Kama kuna mwanajukwaa anafahamu wapi inapatikana na kwa bei ipi basi asisite kutoa msaada hapa
 
Mtumiaji ni mdada wa miaka 32.
mh it seems hamna anayefahamu wapi hii dawa inapatikana kwa sababu huwa thread za afya zipo active sana
 
Asili ya hii mizizi ni upareni ila hapa Arusha imejaa tele kuna vijana wanatembeza kwa ajili ya kuongeza nguvu za kiume
 
Asili ya hii mizizi ni upareni ila hapa Arusha imejaa tele kuna vijana wanatembeza kwa ajili ya kuongeza nguvu za kiume

Ahaa kumbe inafanya na hayo pia?
Nilidhani ni kwa ajili ya tumbo tu?
Ingekuwa inapatikana Dar es salaam ingekuwa poa sana, unafahamu upatikanaji wake kwa hapa dar?
 
Back
Top Bottom