Dawa hizi ni hatarishi kwa figo.

Dawa hizi ni hatarishi kwa figo.

mwa 4

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
3,390
Reaction score
751
Hizi ni dawa hatari kwa figo zako

Madawa ambayo yanaweza kusababishia uharibifu wa figo
Kuna orodha ndefu ya madawa yanayotumiwa na binadamu ambayo yanaweza kuharibu figo, hizi ni aina tofauti za dawa ambazo zinaweza kuharibu figo, nimezihorodhisha makundi kumi tofauti ya dawa ambazo ni hatari kwa figo zako.

Katika dawa hizo zipo;

1. Antibiotics
Hapa katika kundi la antibiotic kuna dawa hizi; Vancomycin, sulfonamides, ciprofloxacin na methicillin.

2. Dawa za kutuliza maumivu
Katika kundi la dawa za kutuliza maumivu, ukitumia, Acetominophen, aspirin, ibuprofen au naproxen, unaweza kuhathiri figo zako.

3.Dawa za kutuliza maumivu ya moyo( Heartburn medications)
Hapa kuna Omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), raberprazol (Rabecid), esomeprazole (Nexium) na lansoprazole (Prevacid).

4.Dawa za kuzuia virusi(Antiviral)
Katika kundi hili kuna Aciclovyr, tenofovir na indinavir.

5.Shinikizo la juu la damu(High blood pressure medications )
Captopril (Capoten).

6.COX-2 inhibitors
Celecoxib (chapa Celebrex), valdecoxib (chapa Bextra), rofecoxib (chapa Vioxx).
Dawa hizi za kipekee kutoka NSAIDs ziliaminika kuwa salama kwa ajili ya tumbo, lakini utumiapo zina uwezo mkubwa wa kuharibu figo zako.

7.Dawa za baridi yabisi(Rheumatoid arthritis drugs )
Chloroquine na hydroxychloroquine, infliximab (Remicade).

8. Bipolar disorder medications
Lithium.

9.Anticonvulsants
Phenytoin (Dilantin), trimethadione (Tridione).

10.Chemotherapy drugs
Mitomcycin,cyclosporine,tacrolimus,interferons,pamidronate,cisplatin,bevacizumab,quinine pamoja na propylthioracil

Kwa ushauri binafsi, unaweza pewa dawa hizi popote iwe hospitali au hata kwenye maduka ya madawa, pindi utumiapo moja ya dawa hizi tumia maji mengi ili kutoa ile sumu nyingi iliyopo kwenye hizi dawa, na usitumie dawa hizi bila ushauri wa daktari.
 
sasa mbona karibu dawa zote ni hatarishi hapo!!!sikumbuki ni mwaka gani nilitumia dawa za kizungu...namshukuru Almighty kwa hili.
 
''THE PHARMACEUTICAL INDUSTRY DOES NOT CREATE CURES THEY CREATE CUSTOMERS'

Sio tu Dawa ulizo zitaja karibu Vidonge vyote sio vizuri kiafya tunakula mavidonge yenye sumu Daktari wameapishwa wafiche Siri lakini wanajuwa ukweli kuwa vidonge sio salama kwa afya ya binadamu hiyo siri hawawezi kuisema kwa kula kiapo cha kuficha ukweli wa mambo. Vidonge karibu vyote sio salama kiafya ya binadamu. Ma Viwanda ya kutengeneza Vidonge wanatengeneza vidonge kwa njia ya biashara ya kupata pesa wanajuwa kuwa wanatengeneza sumu lakini mbele ya pesa hawa angalii usalama wa watumiaji wao ili mradi wapate pesa.
 
sasa mbona karibu dawa zote ni hatarishi hapo!!!sikumbuki ni mwaka gani nilitumia dawa za kizungu...namshukuru Almighty kwa hili.
Ni hatarishi kama Usipokunywa Maji Mengi... Watu wengi wanatabia ya Kunywa Dawa Na Ile Glass Moja Tu ya Maji Kwisha...

Mfano ukisoma Indication za Cipro huwa Inatabia Ya Kuform Crystal kwenye Mkojo kwa Watu wasiokunywa Maji mengi...
 
Back
Top Bottom