Kwa uelewa wangu Strom-50 (tramadol) ni dawa inayotumika kutibia maumivu makali kama vile baada ya kupasuliwa. Moja ya side effects zake ni kushusha msukumo wa damu (blood pressure). Na hiyo nyingine ni vitamins kama ilivyoelezwa. Ningeshauri urudi kwa daktari wako kwa uchunguzi zaidi.