Bandabichi
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 230
- 42
Kuna hizi dawa/vidonge, VITA CAP NA STROM-50.
Je hizi mtu akitumia zinaweza kushusha presha na mgojwa kuishiwa nguvu.
Sababu kila akizitumia ndo anakuwa hivyo ni sababu ya hizi dawa ama kuna kingine.