KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
pole yako kwa kuwa na mawazo ajabu namna hii..,. Huu ni mtandao tu, kila mtu anakomenti anavyojisikia hata kama hajui, wapo watu na taaluma zao wametulia tu, hawaoni haja ya kukomenti kila uzi.Siku nyingine Waite wafamasia tuje tukupe ufafanuzi madaktar dawa hawajui kitu sana wao diagnosis tu na sisi pharmacological and therapeutic ndo wenyewe sekta yetu [HASHTAG]#over[/HASHTAG]