Dawa hizi zinatibu nini?

Dawa hizi zinatibu nini?

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
Madaktari msaada wenu tafadhali dawa hizi zinatibu tatizo lipi
6b2aab06a5ffa085e1f35770235da958.jpg
2ca4cd7edaa19b307be8dd3694b8fa05.jpg
 
Uuuwwiii sio fungasi wa uke ....mzee baba kama ulizama chumvini jiandae kuvimba mdomo
 
Utakuwa umezikuta kwenye mkoba wa mtu bila shaka...
 
Siku nyingine Waite wafamasia tuje tukupe ufafanuzi madaktar dawa hawajui kitu sana wao diagnosis tu na sisi pharmacological and therapeutic ndo wenyewe sekta yetu [HASHTAG]#over[/HASHTAG]
 
Siku nyingine Waite wafamasia tuje tukupe ufafanuzi madaktar dawa hawajui kitu sana wao diagnosis tu na sisi pharmacological and therapeutic ndo wenyewe sekta yetu [HASHTAG]#over[/HASHTAG]
pole yako kwa kuwa na mawazo ajabu namna hii..,. Huu ni mtandao tu, kila mtu anakomenti anavyojisikia hata kama hajui, wapo watu na taaluma zao wametulia tu, hawaoni haja ya kukomenti kila uzi.
na kwa kifupi tu ni kwamba hakuna daktari asiyejua pharmacology.,
 
Back
Top Bottom