Naona umewapa homeworkWagundue na chanjo ya kutougua kisukari au kansa kama ilivyo chanjo ya magonjwa mengine utotoni
Dawa ya ukimwi tayali saiv tunasubili Israel itengeneze dawa kwa ajili ya wanawake kutibu wale bacteria wanao shambulia wallet za wanaume watu tuvinjari
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lkn mbn wanakufa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Upungufu wa kinga mwilini sio ugonjwa
Kati ya hao jero nawe utakuepo[emoji23] [emoji23]Mzungu hawezi leta dawa ya ukimwi. Mtasubiri sana.
Ugonjwa aulete yeye halafu awaletee dawa. Poleni mpk muishe mbaki Jero afrika nzima ndio atawaletea.
Mtaendele kula ARV tu
Lakini hata hivyo watu wengi wanazaliwa kuliko idadi ya wanao kufaWazungu wanalitaka bara la africa kwa nguvu zote ili wajigawie steak iliyobaki...
Sasa kilichobaki ni mwendo wa kusambaza maradhi tu mara HIV, cancer ya ini, malaria, Ebola, mpaka kufikia 2050, waafrika wote kushnei!
Sent using Jamii Forums mobile app
yesu wanguWatuletee na bongo tuanze kulana nyama nyama