bhachoneghe
Member
- Feb 9, 2017
- 54
- 36
Nawasuse, ingia kwene mtandao wa The times of Israel comments za watu dhid ya wenechuk na wayahud utacheka dhiid ya ugunduz huu .coz info hii niliiona January mwaka huu kwenye page hiyoNadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Ata kama wanatengeneza kwa kutumia nyama ya nguruwe akuna mtu ataacha kunywa ikija wengine watasilimu kabisa kama ni kweli hii dawa imepatikana aliyegundua nitamtafuta kote nimpe tunzo ya heshima ili liungonjwa limeniulia watu muhimu sanaSafi KABISA MKUU tusubili wafia DINI waweze kugoma,,,tena hai wafia Dini ndo wanaongoza KWA maambukizi....KUNA jamaa amecomment two esrael wamekosea kutangaza kama wao NDO wavumbuzi,,,sasa KWANI mpalestina amekatazwa,si avumbue na yeye!!!waarabu wamekalia kujilipua tu badala yakufanya mambo yamuhim,,,,
Acha utoto huo!!! Mkuuu uliposema eti wazinzi wanajiandaa kufanya sherehe!! Kwa viumbe wenye upeo mdogo ndio walikuwa na mawazo hayo miaka ile!! Ila kwa sasa wana mitazamo tofauti na ile ya awali!! Japo asilimia kubwa unaenezwa kwa njia hiyo ila huwezi ukahitimisha kwa kauli hiyo!!Sijazungumza nani anapaswa kupata ukimwi! Wewe ni Mzinzi?
the times of Israel .walichapisha info hyo toka January mkuuSource plz
Wewe unadhani ikitangazwa rasmi dawa ya ukimwi imepatikana ni nani watafanya sherehe Kama sio Wazinzi?Acha utoto huo!!! Mkuuu uliposema eti wazinzi wanajiandaa kufanya sherehe!! Kwa viumbe wenye upeo mdogo ndio walikuwa na mawazo hayo miaka ile!! Ila kwa sasa wana mitazamo tofauti na ile ya awali!! Japo asilimia kubwa unaenezwa kwa njia hiyo ila huwezi ukahitimisha kwa kauli hiyo!!
thubutuuuu, kwenye kikombe cha babu wa Loliondo mbona walienda!!!!! Tena hii hapa wataitumia sana tu labda siyo VVUNadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Ktk wote we umenena!Watuletee na bongo tuanze kulana nyama nyama
Mkuu wamesema itaanza tumika baada ya mwaka mmoja Ngoja tuone huwenda miujiza ikatokea hatuwezi jua.Taarifa kama hizo sio mara ya kwanza kuandikwa, lakini kinachokuwa tatizo ni kwamba katka ulimwengu wa sayansi ya majaribio ya dawa zinazohusu binadamu kuna stages nyingi sana mpaka dunia nzima ijidhihirishe ukweli au uhalisia wa ugunduzi huo, clinical trials ni tofauti na tafiti zingine za kawaida... Imaweza chukua hata miaka kumi ijayo mpaka jopo la wataalamu wa mambo ya tiba wakubali au wakatae ugunduzi huo
mkuu umesema ukweli mtupuNiandike tu kwa kifupi haya yafuatayo:
1. Dawa imekuwepo,
Lakini, tangia miaka ya mwanzoni ya mwaka 1990s dawa ilitakiwa kutolewa baada ya vifo vingi hasa afrika lakini wskapiga chenga . Ila dawa ipo siku nyingi Sana huko Israeli na USA japo Israel, ndiyo wanaelewa formula na composition vizuri.
2. Israel inatumia dawa hiyo kuwatisha USA ambayo imeipinga kwa kupiga kura kinyume chao mwezi January, 2017 pale Paris, ufaransa kikao cha UN.
3. Israel anamaadui wengi, sasa hivi kuliko wakati mwingine baada ya vita baridi, kwa hiyo anatumia Sawa hiyo kama siraha ya kidplomasia kuteka nchi nyingi ili zimsaidie katika maamuzi ya UN na kumtetea.
Sasa, ni kwa nini dawa haikutangzwa mapema, USA walikuwa wanapata hela nyingi sana za michango toka nchi mbali mbali ili kusaidia waathirika kitu ambacho kama nchi wanapata kodi kutokana na michango hiyo.
Kama utaka kuelewa hili la michango, hebu rejea kesi ya Clinton Foundation ambayo imetikisa USA na hasa wakati wa uchaguzi japo hiyo kesi au issue ilikuwepo kabla ya uchaguzi mwaka jana November, 2016 .
Pia, issue nzima ya aira USA iliona itapoteza ajira nyingi sana za watu wake na baadhi ya projects zao zitakufa kama za ARV's , condoms na vitu kama hivyo.
Hivyo, kwa ujumla dawa zipo siku nyingi sana na ndiyo maana unaona Israel inatikisa kiberiti kwa kusema kuwa Sawa yao INA uwezo wa 97% kuponya ila ukweli ni kuwa inauwezo wa 100% kuponya kwa sababu, ugunduzi wa miaka hiyo waisraeli ndiyo walioufanya miaka hiyo wakiwa na USA japo, kanuni zote wao ndiyo walionazo.
Ila, angalizo, hiyo dawa inaweza ikapotea sokoni endapo utawala wa Trump utakuwa uko na msaada wa uhakika kwa Taifa la Israeli.
Lakini, ikiwa USA hawataisaidia Israel basi itakuwepo na itaponya na ndiyo maana wamesema baada ya mwaka mmoja watatimiza hiyo formula ya dawa ili iponye asilimia 100% lakini huo muda wameutoa kama angalizo kwa USA kujirekebisha kuhusu siasa zake na msitakabali wao juu ya Taifa hilo la Israel.
Kwa hiyo, watu msiruke majoka huko Tz mkijua kuwa dawa tayari ipo , ila ukweli ni huo kuwa lolote laweza kutokea tena wakati wowote ule.
Ni hayo tu, nimesema ninachojua wengine waongezee.
Kumbe masuala ya kisiasa ndo yaliingilia utaalamu, ha ha ha dunia hii ina mambo makuu sanamkuu umesema ukweli mtupu