Dawa inayodaiwa kutibu UKIMWI yagundulika nchini Israel

Status
Not open for further replies.
Haya ni maneno tulisha ya zoea yatapita!

Ukimwi na uwa uwe tu,mnatuitaga washamba!
 
Kuna watu wanashadidia utadhani hizi ngonjera zimeanza Leo km mzito au mgeni wa kufuatilia media utaona km ni kitu kpya ila kiuhalisia sio wao tu ikumbuke England nayo walishawahi kulisema hilo kuwa dawa wananayo Germany walidai wako hatua za mwisho mwisho kuiweka sokoni mwisho wa cku kimyaa
 
Kumbuka bado kuna ugonjwa wa homa ya inni dawa haijagundulika.
 
Nadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Usipotumia Kama ni mgonjwa acha ufe
 
Nadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Kwaio virusi vikutafune kisa dawa imetengenezwa na myahudi...
 
Dawa zinavumbuliwa kila siku sema CDC huwa inazipiga chini. Ukimwi ni business kwa watengenezaji wa ARV ko ni ngumu wao kukubali dawa ya kutibu ugonjwa.
Alitokea Dr. Sebi na wakamsakama mbaba wa watu mpaka akafia jela. Kisa tu kujitangaza anayo dawa ya kutibu UKIMWI.

Wengi sana wameuwa hata mwaka Jana, 2016 pana ndege imesababishiwa ajari (imepigwa kombora) kisa pana doctor alikuwa anaenda kufanya presentation kule Asia kuhusu dawa ya ukimwi hadi sasa kesi imepotea ya uchunguzi wa ajari ile na ndege ililipuliwa na USA kwa kusingizia magaidi wa IS na Russia ambapo, wote hao wamekataa kuhusika japo CIA ndiyo walio engineer zoezi zima.

Kwa hiyo HIV/AIDS ni project ya watu kupiga hela kwa USA na baadhi ya washirika wake kwa kuuza ARV, condoms, na kupata hela za michango pamoja na ajira kwa watu wao.

Hapo, Tanzania, madoctor wengi sana wamegundua ila wengine wamekatazwa kutangaza, wengine wamepotezwa na baadhi wameogopa kujitangaza kuwa wanayo dawa.
 
Wengi sana wameuwa hata mwaka Jana, 2016 pana ndege imesababishiwa ajari (imepigwa kombora) kisa pana doctor alikuwa anaenda kufanya presentation kule Asia kuhusu dawa ya ukimwi hadi sasa kesi imepotea ya uchunguzi wa ajari ile na ndege ililipuliwa na USA kwa kusingizia magaidi wa IS na Russia ambapo, wote hao wamekataa kuhusika japo CIA ndiyo walio engineer zoezi zima.

Kwa hiyo HIV/AIDS ni project ya watu kupiga hela
Kweli kabisa!!! We angalia kitu kama ebola... Kikiingia kwenye nchi hakichagui nani wala nani!!! Ndo mana kikatafutiwa dawa mapema. Ila hii ishu ya huu ugonjwa wanapiga hela saana. Imagine enzi hizo kabla serikali haijanunulia watu wake dawa!!! Nasikia dozi ilikua laki tatu. Sasa chekishia garama yake
 
Yeah, ndiyo hivyo.

Ila kwa ujumla, ni kwa sababu ya unafiki wa wazungu.

Yaani, mzungu ukiwa mko pamoja unafanya kazi naye utafikili yupo nawe unamaanisha mnawaziana mawazo mema ila yeye anatamani upotee.

Na mara zote hawapendi kusema sisi waafrika tunaweza kufanya jambo nzuri.

Kwa ujumla, bado Africa tuna safari ndefu sana
 
Saana!
 
Kweli kabisa!!! We angalia kitu kama ebola... Kikiingia kwenye nchi hakichagui nani wala nani!!! Ndo mana kikatafutiwa dawa mapema. Ila hii ishu ya huu ugonjwa wanapiga hela saana. Imagine enzi hizo kabla serikali haijanunulia watu wake dawa!!! Nasikia dozi ilikua laki tatu. Sasa chekishia garama yake

Paprika.

Umenikumbusha Ebola nimecheka kwa kusikitika , maana Ebola imetengenezwa mwaka 2013 pale USA kwa ajili ya destabilization of the western African states,
( Ila hapo Ebola iliisha kuwepo sehemu zingine.)

Sasa, hii ilipoletwa, ndiyo ikawashika baadhi ya madaktari wao wakasepa faster kwenda USA kutibiwa.

Ila kusema ukweli,walifanikiwa kuharibu uchumi wa nchi hizo za afrika ya magharibi Yaani mi wazungu nawaona ni heli ukutane na simba au chui pale Serengeti kuliko hata kitoto cha mzungu pale kinapokuwa kinahitaji ulicho nacho.

Anaweza akakufanya chochote ili achukue ulichonacho.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom