bhachoneghe
Member
- Feb 9, 2017
- 54
- 36
The times of Israel.Nipe link mkuu, na Mimi nikawatukanepo haya makafir mayahudi, angalau niingize Baraka.
The Times of Israel: Israeli scientists see breakthrough in AIDS cure Israeli scientists see breakthrough in AIDS cureNipe link mkuu, na Mimi nikawatukanepo haya makafir mayahudi, angalau niingize Baraka.
Soon watatangaza.......just wait and seeTunawasubir WHO. Ndo pilikapilika na sherehe zianze
Usipotumia Kama ni mgonjwa acha ufeNadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Kwaio virusi vikutafune kisa dawa imetengenezwa na myahudi...Nadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Dawa zinavumbuliwa kila siku sema CDC huwa inazipiga chini. Ukimwi ni business kwa watengenezaji wa ARV ko ni ngumu wao kukubali dawa ya kutibu ugonjwa.
Alitokea Dr. Sebi na wakamsakama mbaba wa watu mpaka akafia jela. Kisa tu kujitangaza anayo dawa ya kutibu UKIMWI.
Kweli kabisa!!! We angalia kitu kama ebola... Kikiingia kwenye nchi hakichagui nani wala nani!!! Ndo mana kikatafutiwa dawa mapema. Ila hii ishu ya huu ugonjwa wanapiga hela saana. Imagine enzi hizo kabla serikali haijanunulia watu wake dawa!!! Nasikia dozi ilikua laki tatu. Sasa chekishia garama yakeWengi sana wameuwa hata mwaka Jana, 2016 pana ndege imesababishiwa ajari (imepigwa kombora) kisa pana doctor alikuwa anaenda kufanya presentation kule Asia kuhusu dawa ya ukimwi hadi sasa kesi imepotea ya uchunguzi wa ajari ile na ndege ililipuliwa na USA kwa kusingizia magaidi wa IS na Russia ambapo, wote hao wamekataa kuhusika japo CIA ndiyo walio engineer zoezi zima.
Kwa hiyo HIV/AIDS ni project ya watu kupiga hela
Kweli kabisa!!! We angalia kitu kama ebola... Kikiingia kwenye nchi hakichagui nani wala nani!!! Ndo mana kikatafutiwa dawa mapema. Ila hii ishu ya huu ugonjwa wanapiga hela saana. Imagine enzi hizo kabla serikali haijanunulia watu wake dawa!!! Nasikia dozi ilikua laki tatu. Sasa chekishia garama yake
Saana!Yeah, ndiyo hivyo.
Ila kwa ujumla, ni kwa sababu ya unafiki wa wazungu.
Yaani, mzungu ukiwa mko pamoja unafanya kazi naye utafikili yupo nawe unamaanisha mnawaziana mawazo mema ila yeye anatamani upotee.
Na mara zote hawapendi kusema sisi waafrika tunaweza kufanya jambo nzuri.
Kwa ujumla, bado Africa tuna safari ndefu sana
Una quote habari lote hilo? unatuchoshaMungu aendelee kuabudiwa
Kweli kabisa!!! We angalia kitu kama ebola... Kikiingia kwenye nchi hakichagui nani wala nani!!! Ndo mana kikatafutiwa dawa mapema. Ila hii ishu ya huu ugonjwa wanapiga hela saana. Imagine enzi hizo kabla serikali haijanunulia watu wake dawa!!! Nasikia dozi ilikua laki tatu. Sasa chekishia garama yake