Dawa inayoleta mvuto wa kimapenzi hii hapa

Dah!!
Hivi Huyo jamaa alikuwa analipa nini!?
Au ndo alikuwa ana honga!?
 
Hilo dole gumba ni fungus tupu lkn watu wanacheki mkwanja tu

Pesa ni pesa afya ni mtaji ukihsribu afya na fedha inapotea
 
Dawa[emoji36], kuipata sasa [emoji36][emoji36][emoji36]
 
Mmepokea vi casual payment vyenu mnaanza kupost post hapa, hizo kila mtu aki hustle anazipata tuu wanawake wa maana wanaangalia Character
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…