Dawa ipi muhmu kutumia??

Dawa ipi muhmu kutumia??

Vera

Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
12
Reaction score
1
Nasumbuliwa na maumivu makal wakat wa hedhi,nitumie tiba gani?
 
kuna tiba ya asili kwa muda mfupi kukata tumbo likikuzidia, chukua maji ya moto kiasi then changanya na limao baada ya hapo ukiona tumbo lako linazidi kuuma nenda kamwone daktari.
 
Asante
 
Back
Top Bottom