dawa kiboko ya JF doctor hii hapa pata tiba hapa

dawa kiboko ya JF doctor hii hapa pata tiba hapa

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,209
heshima kwenu wakuu??

Mim nimekuwa member mzuri sana kwa kufuatiria thread za wadau hapa jamvini na kila coment wachangiazo wadau humu ASALI lazima itahusika. Kiukweli walio wengi hugaramikia maelfu kuweka security systerm na hata yale makampuni ya ulinzi kwaajili ya kuwalinda na vibaka ,wadokozi,wezi,majangiri na majambazi na kumsahau mlinzi huyu malidadi ASALI.

Sasa mlinzi kinga na tiba ya maladhi mbalimbali na hata yale sugu na wale wenye matatizo ya nguvu za kiume pateni kinga,tiba kwa bei nafuu. Ipo asali mbichi ya nyuki wakubwa naiuza kwa lita sh 10,000 tu kwa reja reja na sh 8000 kwa jumla.

Hata ukihitaji yenye masega yake ambayo haija kamuliwa nayo ipo. Mim napatikana mwenge dar es salaam kwa mawasiliano zaidi 0717 228064.
 
Mkuu LEGE kabla ya kuinunuwa hiyo Dawa Ya JF. Asali tutaicheki je ni Ya Ukweli Orignal au ni Asali Feki?

Jinsi ya kuijua asali original

TUNAFAHAMU kwamba asali ina umuhimu mkubwa sana katika mwili wa binaadamu, lakini watu wengi

wamekuwa wakipigwa kwa kuuziwa asali feki, sasa leo nimeona niwape darasa wanunuzi wa asali ili wasiweze kununua asali feki.

Maana sehemu nyingi Jijini Dares-Salaam haswa Kariakoo, wafanyabiashara wamekuwa wakiuza Asali ambayo haina ubora kwa kuchanganya maji na sukari guru.

Njia ya kwanza, chukua njiti ya kibiriti kisha ichovye sehemu yenye baruti kwenye asali unayotaka kuinunua, kisha iwashe njiti hiyo kwa kutumia kibiriti chako, ikiwaka, ujue hiyo ni asali kweli.

Njia ya pili, dondosha asali chini katika mchanga, ukiona sehemu ya mchanga iliyolowana ikijikusanya pamoja ujue hiyo nii asali orginal.

Njia ya tatu, Chukua karatasi jeupe, dondoshea asali njia juu yake, kama ikichelewa kutokea upande wa pili, ujue hiyo asali safi na inafaaa kwa matumizi ya binaadamu.

Bado kuna njia nyingine ambayo hutumiwa na baadhi ya watu, kama vile kuimwaga katika kiganja cha mkono wako, ukiona tone la mwisho linabakia kwenye chupa kuja mkononi, hiyo ni asali nzuri.

Pia wengine huangalia kama ikiwa kwenye chupa huwa inatengeneza alama yenye mfano wa korosho.

Nadhani hutaibiwa tena kwa kuuzia asali feki. chanzo:MziziMkavu

Haya Wabongo Nendeni kwa mkuu Lege mkaiangalie hiyo Asali yake kisha muje hapa munipe Feedback
 
Last edited by a moderator:

Uchambuzi yakinifu huu.....!!
Je utajuaje kwamba ni asali ya nyuki wadogo na wakubwa.....?
 
..tahadhari kwa watumiaji wa nyuki; ni vema kubaini maeneo ilipovunwa hiyo asali. Asali iliyo safi kwa matumizi ya mezani iwe ile inayotoka katika maeneo mbali na shughuli mbalimbali za kibinadamu ikiwemo kilimo kinachotumia kemikali; pia kilimo cha mazao kama tumbaku. Vinginevyo asali hiyo bora ikatumika katika shuhguli za uzalishaji wa mazao au bidhaa za viwandani zaidi.
 
mkuu Kimbweka Nyuki ni nyuki wakiwa ni wakubwa ni nyuki wakiwa ni wadogo ni nyuki ili mradi watoe Asali Safi. Kwani nyuki mdogo hawezi kukutafuna Mkuu Kimbweka?

Nimewahi ambiwa Asali ya nyuki wadogo na Nyuki wakubwa zina tofauti...!!!
Na nyuki wadogo mara nyingi hawang'ati.......!!
 
Kweli nimeamini JF ni chuo cha Mafunzo, Kitivo cha uchambuzi, Idara ya Utafiti, Ukumbi wa mawazo.

Hiyo shule iliyomwagwa hapo juu namna ya kugundua asali iliyochakachuliwa au feki nimeikubali.

Sasa ngoja nikaitumie....
 
mkuu Kimbweka Nyuki ni nyuki wakiwa ni wakubwa ni nyuki wakiwa ni wadogo ni nyuki ili mradi watoe Asali Safi. Kwani nyuki mdogo hawezi kukutafuna Mkuu Kimbweka?
lakini nackia (sina uhakika) kwamba asali ya nyuki wadogo ina tofauti na ya nyuki wakubwa... na kwamba ya nyuki wadogo ni aghali zaid kuliko ya nyuku wakubwa. na ina manufaa zaidi... walichukuliaje hili mkuu mzizimkavu?
 
Nakushukuru Mzizi Mkavu kwa Darasa ulilotoa.. Naomba ujibu hili swali ili kutuongezea ufahamu zaidi....

lakini nackia (sina uhakika) kwamba asali ya nyuki wadogo ina tofauti na ya nyuki wakubwa... na kwamba ya nyuki wadogo ni aghali zaid kuliko ya nyuku wakubwa. na ina manufaa zaidi... walichukuliaje hili mkuu mzizimkavu?
 
Njoo mkuu ununue tuu usitie shaka wafanyabiashara kibao hapa jijini huwa wanakuja kujumua hapa?? Zimebakia lita kama 150 hivi.
 
Bado ipo mkuu na sasa tumeamua kuja na hii mpya kama kuna mtu atahitaji apate kitu pure kutoka mzingani utapata tuu.yaani unapewa asali ukakamue mwenyewe.maana bado ipo kwenye masega. Mkuu mzii karibu sana au sema utaletewa popote ulipo ila tu iwe ni ndani ya jiji la dar kama nje ya dar utachangia kidogo usafiri
 
uchambuzi yakinifu huu.....!!
Je utajuaje kwamba ni asali ya nyuki wadogo na wakubwa.....?
mkuu hii yetu ni pure ukitaka hata iliyopo kwenye masega ipo utaipata tuu.. Unauziwa ukajichujie mwenyewe
 
Kila mtu atavuna kwa jasho lake mwenyewe-Huu ndio ujasili mali
Mimi nilikuwa nahitaji na nitamtuma dogo aje kununua
 
mim naomba nitoe OFA kwa member 1 hapa jf ya lita 1 ya asali ili aje na feedback hapa jamvini?? Kama utanipigia sim OK au kama uta ni pm haina shida pia.
 
mkuu Kimbweka Nyuki ni nyuki wakiwa ni wakubwa ni nyuki wakiwa ni wadogo ni nyuki ili mradi watoe Asali Safi. Kwani nyuki mdogo hawezi kukutafuna Mkuu Kimbweka?
Ndugu kibweka asali ya nyuki wa dogo inatofauti na nyuki wakubwa,yenyewe huwa nyepesi kama maji maji pia ina ladha chachu chachu na rangi huwa tofauti kwa muonekano wake.Napia zingatia matumizi yake yasizidi miezi 6 toka ivunwe kwani inapozidi kukaa sana huchachuka zaidi na kuifanya kuwa na kiasi kikubwa cha kilevi!
 
Back
Top Bottom