INAUZWA Dawa kiboko ya kuangamiza popo inapatikana

INAUZWA Dawa kiboko ya kuangamiza popo inapatikana

Joined
Nov 7, 2021
Posts
35
Reaction score
21
Hello..

Popo wamekua ni changamoto kubwa sana kwa mazingira yetu ya majumbani na mazingira yanayotuzunguka.Popo husababisha madhara na uharibifu katika nyumba zetu kama
1. Uchafuzi wa nyumba zetu kama madari na ukuta
2. Kelele nyakati za usiku
3. Popo ana uwezo wa kubeba virusi vya magonjwa mbalimbali
4. Popo hubeba kunguni, haya ni madhara machache ya popo katika majumba yetu..

Hapa nakuletea dawa maalum kwa ajili ya kuangamiza na kuteketeza kabisa popo katika mazingira yako,, popo wote watakufa na kukimbia katika mazingira yako.

Kwa uhitaji wa dawa hii unaweza kunipata kwa no. Hii 0787370180 na 0759359218. Kwa sasa napatikana mikoa ya Arusha na Moshi ila mkoa wowote naweza kukutumia. Pata dawa hii kuweka mazingira yako safi, salama.
Bei ya dawa ni sh 60,000 kwa kopo moja... Kopo lina kama uzito wa kilo moja kwa ujazo huu unauwezo wa kuua na kukimbiza maelfu ya popo.. Ufanisi wa dawa hii ni asilimia Mia moja 100%
popo1.jpg

popo3.jpeg

popo3.jpeg

popo5.jpg
 
Hello.. Popo wamekua ni changamoto kubwa sana kwa mazingira yetu ya majumbani na mazingira yanayotuzunguka.Popo husababisha madhara na uharibifu katika nyumba zetu kama...
Mkuu; Bei yake na Tahadhari zake n: Ni ya kiwandani au ni ya Asili(Botanical)?
 
Mkuu; Bei yake na Tahadhari zake n: Ni ya kiwandani au ni ya Asili(Botanical)?
Mkuu dawa hii Haina madhara yoyote kwa binadamu unaweza hata kulamba ila ni angamizo kubwa Sana la popo dawa hii ni botanical but iko packed kisasa kwa kipimo maalum.

Kwa sasa dawa nyingi za viwandani zimeshindwa kuua popo kama nuvan, vidonge vya kuhifadhi mahindi , profectron etc.. hii dawa ndo angamizo sahihi la popo inafanya kazi kwa ufanisi wa 100%.. inateketeza na kuua popo wote wale wakubwa na wadogo..
 
Epuka harufu mbaya nyumbani, epuka magonjwa yasambazwayo na popo ebuka kuweka Dari/ceiling board upya kwa gharama kubwa tumia dawa hii kuweka mazingira yako Safi kwa afya Bora.. dawa hii inaangamiza popo wote wale wakubwa na wadogo..
 
Una dawa nzuri, ila jinsi unavyoitangaza, kuna vitu muhimu hujatuwekea.
Hata picha ya Mkebe wa Dawa.
Zaidi umeweka picha za Popo.

Maelekezo ya Jinsi ya kutumia.
Nayo pia hujaweka.

Endapo italeta Madhara.
Nini kifanyike.

Gharama yake.

Watu wangapi hadi sasa wameitumia.

Boresha hivyo Vitu.
Utaona Jinsi wateja wanavyomwagika.
 
Unapaka mwilini au kwenye ukuta mkuu?
Mkuu unapaka sehemu wanapoingilia au wanapotokea .. unapaka kidogo tuu ,, au wanapokaa.. watakufa kupitia kuigusa au harufu na mmoja akipata madhara yanaenda kwa wenzake pia Kwa siku moja unaua popo zaidi ya elfu .. Kwa binadamu Haina madhara yoyote hata harufu yake sio Kali , binadamu unaweza hata kuilamba bila kuhisi chochote, ila kwa popo ina madhara ya kutisha ni zaidi ya Moto mkali au tindikali kwa popo..
 
Ukiuwa wengi hivo unaharibu eco system ya viumbe dunian
Basi hiyo dawa haifai
 
Ukiuwa wengi hivo unaharibu eco system ya viumbe dunian
Basi hiyo dawa haifai
Mkuu popo Wana madhara makubwa Sana na popo ni miongoni mwa viumbe vigumu Sana kufa na kudhibiti Kama hauna dawa sahihi,, katika shughuli zangu za hii dawa nimekutana na majumba yamejengwa kwa mamilion na popo wameharibu kabisa .. popo wanashusha Dari la nyumba nzima.. Popo husababisha harufu mbaya majumbani pia Kuna mila za watu wanasema popo akikojolea nguo za mtoto anaweza kuumwa Sana..Kifupi popo Ana hasara nyingi Sana katika mazingira ya binadamu kuliko faida .
 
Back
Top Bottom