INAUZWA Dawa kiboko ya kuangamiza popo inapatikana

INAUZWA Dawa kiboko ya kuangamiza popo inapatikana

Weka mazingira yako Safi .. dawa ya kufukuza kabisa na kuua popo badp inapatikana mawasiliano .. 0759359218
 
Dawa kiboko ya kuangamiza popo bado inapatikana .. weka mazingira yako safi ..
 
Hello..

Popo wamekua ni changamoto kubwa sana kwa mazingira yetu ya majumbani na mazingira yanayotuzunguka.Popo husababisha madhara na uharibifu katika nyumba zetu kama
1. Uchafuzi wa nyumba zetu kama madari na ukuta
2. Kelele nyakati za usiku
3. Popo ana uwezo wa kubeba virusi vya magonjwa mbalimbali
4. Popo hubeba kunguni, haya ni madhara machache ya popo katika majumba yetu..

Hapa nakuletea dawa maalum kwa ajili ya kuangamiza na kuteketeza kabisa popo katika mazingira yako,, popo wote watakufa na kukimbia katika mazingira yako.

Kwa uhitaji wa dawa hii unaweza kunipata kwa no. Hii 0787370180 na 0759359218. Kwa sasa napatikana mikoa ya Arusha na Moshi ila mkoa wowote naweza kukutumia. Pata dawa hii kuweka mazingira yako safi, salama.
Bei ya dawa ni sh 60,000 kwa kopo moja... Kopo lina kama uzito wa kilo moja kwa ujazo huu unauwezo wa kuua na kukimbiza maelfu ya popo.. Ufanisi wa dawa hii ni asilimia Mia moja 100%
View attachment 2005467

View attachment 2005468

View attachment 2005469

View attachment 2005470
Yes
 
Hii Dawa kiboko , nimeitumia ndani ya siku tatu nimepiga Popo zaidi ya buku
 
Back
Top Bottom