Dawa kiboko ya kuua nzi inapatikana Dar kwa bei nafuu shilingi 300 tu

Dawa kiboko ya kuua nzi inapatikana Dar kwa bei nafuu shilingi 300 tu

Janneywiz

Member
Joined
Oct 16, 2019
Posts
16
Reaction score
3
Dawa kiboko ya nzi inapatikana kwa pic moja 300 na jumla pic 50 kwa shillingi 10000 karbuni sana 0783859598
Screenshot_20191013-205252_1570989223165.jpg
Screenshot_20191013-205435_1570989316728.jpg
 
Brother chukua pic 50 pic moja ni 200 tu kwa pic 50 ni 10000 .
 
Hii ni sumu au mtego na ukishatumia unatupa au? Hujaifafanua vizuri Dawa yako
 
Samahani sijaelewa, "pic" ndiyo nini, "packet" moja au "piece" moja?
 
Hii ni sumu au mtego na ukishatumia unatupa au? Hujaifafanua vizuri Dawa yako
Ni kama gundi flan wananasa nzi weng kama uonavyo katika picha wakishasa hvy wanakufa wote na unatupa haifai tena kwa matumiz mengine
 
Back
Top Bottom