Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brother chukua pic 50 pic moja ni 200 tu kwa pic 50 ni 10000 .
Mpaka Kagera itakuwa Tsh 45/=😂😂😂😂Unaweza kunitumia pic moja nipo kagera... Tafadhali bei ya kusafirisha isiwe kubwa kuliko bei ya bidhaa
Ni kama gundi flan wananasa nzi weng kama uonavyo katika picha wakishasa hvy wanakufa wote na unatupa haifai tena kwa matumiz mengineHii ni sumu au mtego na ukishatumia unatupa au? Hujaifafanua vizuri Dawa yako
Packet moja zinakua 10 piece moja ni kama hiyo katika picha hapoSamahani sijaelewa, "pic" ndiyo nini, "packet" moja au "piece" moja?
Tunakutumia kwa basi unahitaji pic ngapiNipo Ar je nitaipataje?
Haifiki labda 5000 tuMpaka Kagera itakuwa Tsh 45/=😂😂😂😂
Upo wapi?Packet moja zinakua 10 piece moja ni kama hiyo katika picha hapo
shekilango ubungoUpo wapi?