DAWA KIBOKO YA MAPUNYE AINA ZOTE

DAWA KIBOKO YA MAPUNYE AINA ZOTE

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Habari ndugu wanajamii!

kazi iendelee na ibada za kuhabarishana ziendelee.

Basi Leo nimekuja na habari njema kwa familia, ndugu na jamaa, awe mtoto au mtu mzima dawa ya mapunye alitupatia mwenyezi Mungu Bure tena Kwa kila mgonjwa au mwenye kusumbuliwa na mapunye

Daya ya mapunye: Mkojo wa mgonjwa mwenye mapunye anakojoa anaweka kwenye chupa na kujipakaza mwili sehemu yenye mapunye asubuhi na jioni na hio ndio dawa yenyewe.

Tafadhari sambaza huu upendo wa toba tusaidie jamii kuna familia zinasumbuka na watoto kutwa hospitalini na kwenye famasi.

Chonde sambaza ujumbe tusaidie watoto wanapata tabu sana.

Kama utashindwa basi usisahau croxacilini ya maji ya watoto na vidonge kwa wakubwa, pamoja na SK DERM tube, Vestiline herbal mafuta,

Please zingatia mkojo hauna madhara yoyote na ni tiba konki konki.

Mungu awape nguvu ya kusambaza na kukumbuka kuwasaidia wengine.

Inshallah Vipers SC watunyoroshe

Wadiz
 
You need another raaap,Sebooo
 
You need another raaap,Sebooo
njoghela katono munange just to help the community from reccuring and chaotic issues that are within our capacities, kakati the community requires well wishers especially whistle blowers on building healthy families and societies. Ukwatee hio message Ssebo,
 
Back
Top Bottom