Dawa kuongeza shape!

[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Halali yako haramu ya mwenzako... endelea kupre
fer wa kienyeji hivyohivyo
Samahani dada km nimekukwaza ....... hasara ya dawa hizo ni kubwa kuliko faida ,
Kutumia madawa kutengeneza shape au rangi ni hatari sana kwa binadamu , usiwadanganye wenzio wenye uelewa mdogo (ill-informed )

MUNGU ANAKUONA
Halali yako haramu ya mwenzako... endelea kupre
fer wa kienyeji hivyohivyo
 
Samahani dada km nimekukwanza ....... hasara ya dawa hizo ni kubwa kuliko faida ,
Kutumia madawa kutengeneza shape au rangi ni hatari sana kwa binadamu , usiwadanganye wenzio wenye uelewa mdogo (ill-informed )

MUNGU ANAKUONA

Wala hujanikwanza mpendwa! ila usipende kumuingiza Mungu kwenye mambo ya ajabuajabu,
Mungu anayeniona mimi muuza dawa anakuona wewepia kwenye yale yako
 
Umeona kumbe. ..... mungu hapendi mambo haya ya ajabu ajabu. ....yeye katuumba kwa rangi na shape nzuri. ... wewe unataka kumsaidia kwa kutuuzia madawa toka Guangdong[emoji15] [emoji15]
 
Mungu hapendi mengi tu mpendwa hakikisha huyafanyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…