Ok umefanya vizuri kutupa Feedback kuliko ungelinyamaza kimya ukisha pona useme ni dawa gani iliyokutibu hayo maradhi yako ili watu wapate wengine kufaidika na hiyo dawa iliyokusaidia uguwa pole kaa mbali na Mdudu Mbu ili usije kupata Malaria SuguHabari wana Jamvi.
Nilikuja na mada hapa ya kuumwa malaria na tyford nashukuru sana kwa walio changia kwa ushauri. Ila kuna dawa nimepata naona inanisaidia sana na kiukweli nimepona na naomba mungu niendelee kuwa mzima. Hiyo dawa ni ya mitishamba imesagwa na kuchanganywa na asali. Kwakweli kwangu mie ni nzuri sana na ni rahisi kuinunua.
Habari wana Jamvi.

nimeacha kumeza dawa za maleria na typhod za hosptl takriban miaka 2 sasa.
Namshukuru Mwenyezi Mungu dawa za asili zimenifaa sana.

Kabila ya gari