Dawa Malaria na Tyford

Dawa Malaria na Tyford

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
6,027
Reaction score
5,344
Habari wana Jamvi.
Nilikuja na mada hapa ya kuumwa malaria na tyford nashukuru sana kwa walio changia kwa ushauri. Ila kuna dawa nimepata naona inanisaidia sana na kiukweli nimepona na naomba mungu niendelee kuwa mzima. Hiyo dawa ni ya mitishamba imesagwa na kuchanganywa na asali. Kwakweli kwangu mie ni nzuri sana na ni rahisi kuinunua.
 
Ok umefanya vizuri kutupa Feedback kuliko ungelinyamaza kimya ukisha pona useme ni dawa gani iliyokutibu hayo maradhi yako ili watu wapate wengine kufaidika na hiyo dawa iliyokusaidia uguwa pole kaa mbali na Mdudu Mbu ili usije kupata Malaria Sugu
 
Last edited by a moderator:
Habari wana Jamvi.
Nilikuja na mada hapa ya kuumwa malaria na tyford nashukuru sana kwa walio changia kwa ushauri. Ila kuna dawa nimepata naona inanisaidia sana na kiukweli nimepona na naomba mungu niendelee kuwa mzima. Hiyo dawa ni ya mitishamba imesagwa na kuchanganywa na asali. Kwakweli kwangu mie ni nzuri sana na ni rahisi kuinunua.

mkuu iyo dawa ya maralia ya mitishamba inapatikana wapi na bei yake je?
 
Hiyo Dawa inapatikana Kariakoo Sokoni pale daladala za kwenda mwenge zinapo egesha ili kupakia abiria. Kuna maduka mengi sana pale ya dawa za asili. Ila hiyo inauzwa duka moja linaitwa MADINA HERBS na Hiyo dawa inauzwa Tsh. 4000/= tu. Kwahiyo ukifika uliza dawa ya Malaria na Tyford.
 
Kwa kuongeza tu siku ya Idd kuna rafiki yangu alikuwa na malaria hadi akashindwa kwenda kusali na nilivyo mpatia hiyo dawa alipona kabisa halafu ni ndani ya siku moja tu na inareact kwa haraka sana na hapo ndicho kimenisukuma hadi niikubaali hiyo dawa. Nadhani nimeeleweka. Thanks all.
 
nimeacha kumeza dawa za maleria na typhod za hosptl takriban miaka 2 sasa.
Namshukuru Mwenyezi Mungu dawa za asili zimenifaa sana.
 
Hata mie naona sasa naziaga aisee coz naona kila siku mwili wangu unazidi kuimarika ee Mungu nisaidie.
 
SaaMbovu. Tyford ndio nini? Ni maradhi au kabila ya gari?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom