ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
Akapate tiba nzuriUngempeleka Hospital mkuu
Alipona vipi mkuu nielekeze dawaIsee dada yangu naye alikuwa na hiyo kitu wanasema nikuchafuka kwa damu,lakn alipona
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Mkuu tulimpeleka zahanati ya kata kapimwa damu majibu wamempa hana tatizoFamasi nyingi wameandika "Ushauri nasaha bure"
Usiogope kama kwenda hospitali unaona foleni itakuchelewesha, ingia hata famasi usikie utaambiwa nini na nini.
Je, sehemu iliyoathirika ina maumivu makali? ama la je anahizi ganzi kwenye miguu?
Cha msingi muone daktari
- yaweza kuwa majipu
- yaweza kuwa dalili za ukoma
- yaweza kuwa allege
- yaweza kuwa maambukizi ya aina fulani ya minyoo
Zahanati ya kata...Mkuu tulimpeleka zahanati ya kata kapimwa damu majibu wamempa hana tatizo
Lukariaa ataijuaje ndugu yangu, hiyo dawa ya kimaasaiMpakee lukariaa
Hawajabaini tatizo mkuuZahanati ya kata...
wamesema hana tatizo ama hawajabaini tatizo?