ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
Habari waungwana poleni na mihangaiko ya kutafuta ridhiki.Ngoja niende katika mada husika na nimekuja hapa jf kupata upembuzi wa jambo hili linamkabili dada yangu kwa majuma kadhaa ana vidonda mguu wa kulia vimejaa kweli na vina weusi kiasi.Naomba kujua tiba ya tatizo lake sababu hapa jf kuna watu wana ujuzi mbalimbali especially watu wa afya au na yeyote aliyepitia haya matatizo