roboka kafwekamo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 821
- 451
Hiyo ni minyoo midogo inaweza kumpata mtu ambaye hupendelea kula nyama ya kuchoma lakin ambayo hsijaiva sawasawa angekuwa karibu huku umasaini angepatiwa tiba vilevile akichelewa kutibiwa basi na vinaweza kuanza kuenea mpaka kichwani