dawa nahitaji plz

Iko sehem gani hasa mkuu? Samahan lakini...
 
mikononi ipo
inanikera nowadays kuna nguo nashindwa vaa kabisa

Km uliapply kwa kutumia piko itatoka ila km niile ya Kujichoma mhh sijui au waone hao wachoraji wanaweza kukusaidia!
 
jaman nsaidien dawa kuondoa tatuu plz,
kwa anaejua bac nahitaji ushauri
Mkaka sijui mdada na wewe nawe nenda pale round about ya ttcl kwa nyuma huku karibia na TRA kwa nyuma huku samora kuna watu hapo wanachora chora na pia wanafuta tatoo hapo.ila bei kubwa kidogo.mie nilishafuta hapo.
 
Mkaka sijui mdada na
wewe nawe nenda pale round about ya ttcl kwa nyuma huku karibia na TRA
kwa nyuma huku samora kuna watu hapo wanachora chora na pia wanafuta
tatoo hapo.ila bei kubwa kidogo.mie nilishafuta hapo.

Nashukuru kwa msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…