Dawa nzuri ya kutoa gesi na miungurumo tumbo

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
1,312
Reaction score
944
Habari za asubuhi wakuu naomba kufahamishwa dawa au njia nzuri ya kuondoa gesi tumboni na miungurumo
Nb nishatumia magnesium bila mafanikio
 
Habari za asubuhi wakuu naomba kufahamishwa dawa au njia nzuri ya kuondoa gesi tumboni na miungurumo
Nb nishatumia magnesium bila mafanikio
Changanya mrundaruna na sanamaki kwa ujazo sawa kisha chukua kijiko kimoja cha mchanganyiko huo changanya na maji moto kikombe kimoja kunywa, fanya hivyo kutwa mara 3 siku 7
 
Changanya mrundaruna na sanamaki kwa ujazo sawa kisha chukua kijiko kimoja cha mchanganyiko huo changanya na maji moto kikombe kimoja kunywa, fanya hivyo kutwa mara 3 siku 7
Mrundaruna ndo nini mkuu ufafanuzi kidogo
 
Kuna dawa moja mmsai alikuwa anauza kikombe elfu 1 aisee ile dawa ni kiboko nlikunywa nusu kikombe tuu na jamaa yangu akamalizia ile nusu hadi leo cjawahi kusikia tumbo kujaa gesi tena na lilikuwa ndo tatzo langu sugu
 
Dhuu unapatikana wapi
 
kama unapendelea kunywa maji ya baridi sana, hiyo gesi utadumu nayo milele
 
Usile maharage ya kiporo....nakuona unavyokula maharage ya jana na chai.....lazma utengeneze hygrocarbon huko ndani
 
Chukua chupaa ya soda pulizaa kila cku
 
Pendelea kula vitunguu saum,tangawiz na tango au ukwaju vitapunguza sana hali iyo na usipende kupakia ovyo pakia kwa mpangilio maalum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…