mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 944
Habari za asubuhi wakuu naomba kufahamishwa dawa au njia nzuri ya kuondoa gesi tumboni na miungurumo
Nb nishatumia magnesium bila mafanikio
Nb nishatumia magnesium bila mafanikio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changanya mrundaruna na sanamaki kwa ujazo sawa kisha chukua kijiko kimoja cha mchanganyiko huo changanya na maji moto kikombe kimoja kunywa, fanya hivyo kutwa mara 3 siku 7Habari za asubuhi wakuu naomba kufahamishwa dawa au njia nzuri ya kuondoa gesi tumboni na miungurumo
Nb nishatumia magnesium bila mafanikio
TUMIA OMEPRAZOLE!Habari za asubuhi wakuu naomba kufahamishwa dawa au njia nzuri ya kuondoa gesi tumboni na miungurumo
Nb nishatumia magnesium bila mafanikio
Mrundaruna ndo nini mkuu ufafanuzi kidogoChanganya mrundaruna na sanamaki kwa ujazo sawa kisha chukua kijiko kimoja cha mchanganyiko huo changanya na maji moto kikombe kimoja kunywa, fanya hivyo kutwa mara 3 siku 7
Mrundarunda ni dawa, nenda duka la dawa asili utapata hizo mkuuMrundaruna ndo nini mkuu ufafanuzi kidogo
Hahahahahaaaaaaaaa nimecheka balaaaaaUsipende kubana ushuzi pindi unapotaka kutoka, uaichie utoke, unapo ubana unarudi tumboni na ndio chanzo chaku nguruma tumbo
Dhuu unapatikana wapiKuna dawa moja mmsai alikuwa anauza kikombe elfu 1 aisee ile dawa ni kiboko nlikunywa nusu kikombe tuu na jamaa yangu akamalizia ile nusu hadi leo cjawahi kusikia tumbo kujaa gesi tena na lilikuwa ndo tatzo langu sugu
Changanya mrundaruna na sanamaki kwa Mimi na
Yaaa mimi nikiwanao nautoa labda iwe nipo kwenye mazingira yasiyoruhusu lkn nikiwa poa natoa vizri mpk jamaa wanasema hongrea.Hahahahahaaaaaaaaa nimecheka balaaaaa
Habari za asubuhi wakuu naomba kufahamishwa dawa au njia nzuri ya kuondoa gesi tumboni na miungurumo
Nb nishatumia magnesium bila mafanikio
Kinapatikana WAP mkuu na bei ikojeEm cheki kitu cha edmark SHAKE OFF NI NOUMA SANAAA