Achana na hizo mambo, ukisikia gas nenda chooni jilazimishe kukata gogo, utajamba mpaka tumbo linakuwa safi.Mrundaruna ndo nini mkuu ufafanuzi kidogo
Kinapatikana WAP mkuu na bei ikoje
Asanteee snaa mkuuWANAUZA ELF 72 mkuu, au mcheki huyu Dada 0758768855 au isearch kwa mwalimu Google upate dondoo kabla ya kumpigia simu.
Ukila chakula cha usiku, usilale mpaka yapite masaa kadhaa (hata mawili) ili chakula kiganyiwe initial digestion na pia jaribu kufunguza ulaji wa vyakula vyenye asidi kali mfano limao ambayo inawekwa kwenye mboga, ndizi n.kMimi na nsaumbuliwa na kiungulia na gesi hasa usiku naskia njaa sana
#ili chakula kifanyiweUkila chakula cha usiku, usilale mpaka yapite masaa kadhaa (hata mawili) ili chakula kiganyiwe initial digestion na pia jaribu kufunguza ulaji wa vyakula vyenye asidi kali mfano limao ambayo inawekwa kwenye mboga, ndizi n.k
#jaribu kupunguza#ili chakula kifanyiwe
#jaribu kuchunguza