Dawa nzuri ya kutoa gesi na miungurumo tumbo

Mimi na nsaumbuliwa na kiungulia na gesi hasa usiku naskia njaa sana
Ukila chakula cha usiku, usilale mpaka yapite masaa kadhaa (hata mawili) ili chakula kiganyiwe initial digestion na pia jaribu kufunguza ulaji wa vyakula vyenye asidi kali mfano limao ambayo inawekwa kwenye mboga, ndizi n.k
 
#ili chakula kifanyiwe
#jaribu kuchunguza
 
Back
Top Bottom