Dawa nzuri ya mafua kwa mtoto mchanga wa mwezi mmoja

Dawa nzuri ya mafua kwa mtoto mchanga wa mwezi mmoja

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,496
Habari Jf doctors,

Naomba kujua dawa nzuri ya mafua Kwa mtoto wa mwezi mmoja.

Natanguliza shukrani.
 
Wakuu naombeni msaada wenu kwenye hili.
 
Unakusudia kutibu nini?
 
Mafua ni means ya kumkinga na vimelea nyemelezi kiafya, anaposhikwa na mafua kwake sio ugonjwa wa kukuumiza kichwa hiyo ni defence mechanism ya cells mwilini kuwa anavuta hewa ya dunia na kuwa sasa mwili unajitengenezea antibodies za kumkinga na hewa chafu kuingia mapafuni, mi sio doctor ila ni mtizamo tu kwani nimekuwa mzazi na nayaona haya sana kwa watoto wachanga, na pengine tumia kinywa chako kumvuta hayo mafua puani kama yameziba, ila kumuanzisha na chemikali za matibabu kwake ni mapema sana
 
Ephedrine hydrochloride 0.5% (paediatric) nasal drops
 
Nunua suction ya watoto hili uvute makamasi kaa urahisi au tumia njia.ya.zamani ambayo.mkuu kaitaja.hapo.juu kwa kutumia kinywa.

Saline spray/drops inaenda sambamba na suction; saline italainisha kamasi na kurahisisha wewe kunyonya kamasi kwa kutumia suction au kinywa.

Dawa hapana. Vicks kifuani inasaidia.lakini mwezi mmoja ni mapema kutumia Vicks.
 
Habari Jf doctors.
Naomba kujua dawa nzuri ya mafua Kwa mtoto wa mwezi mmoja. Natanguliza shukrani.
mnyonyeshe maziwa yako sana.hiyo ndo dawa ya kwanza.
Pili. mpeleke hospitali usikute alibugia maji wakati wa kujifungua
 
Back
Top Bottom