Dawa nzuri ya mafua kwa mtoto mchanga wa mwezi mmoja

Dawa nzuri ya mafua kwa mtoto mchanga wa mwezi mmoja

Mafua ni means ya kumkinga na vimelea nyemelezi kiafya, anaposhikwa na mafua kwake sio ugonjwa wa kukuumiza kichwa hiyo ni defence mechanism ya cells mwilini kuwa anavuta hewa ya dunia na kuwa sasa mwili unajitengenezea antibodies za kumkinga na hewa chafu kuingia mapafuni...
Kama sio doct umeyajuaje hayo ma antibodies boss
 
Ephedrine hydrochloride 0.5% (paediatric) nasal drops
Mimi naona kwa mtoto wa mwezi mmoja, Saline nasal drops ni salama zaidi. Dawa ziko nyingi lakini yoyote utakayochagua usisahau kusoma tahadhari (contraindications) zake, kama ni salama kwa mtoto wa umri chini ya mwaka watakueleza.
 
Mkuu mtoto wako alipona Mafia? Ulitumia dawa gani?
Dah! Mwana chelsea mimi mwenyewe natamani nijue yaani mwanangu anamafua balaa na ana miezi mitatu mpaka nimechanganyikiwa kidogo.
 
Usimpe Dawa yoyote Mafia huletwa na virus, na hupotea menyewe usimpe madawa mtoto, utadhuru mifupa yake
Dah! Kwamba mtoto hatakiwi kupewa dawa! Wakati mafua yakizidi yanaweza kupelekea akashindwa kunyonya mkuu.
 
Dah! Kwamba mtoto hatakiwi kupewa dawa! Wakati mafua yakizidi yanaweza kupelekea akashindwa kunyonya mkuu.
Nyonyesha nyonyesha afu nyonyesha tena ni dawa dhabiti kwa mtoto period,yakizidi mpake majimaji ya kitunguu unyayoni
 
Nyonyesha nyonyesha afu nyonyesha tena ni dawa dhabiti kwa mtoto period,yakizidi mpake majimaji ya kitunguu unyayoni
Vitunguu swaum au maji mkuu? Nakufanya kwangu kazi zahanati nimegonga mwamba kwa mwanangu aisee
 
Back
Top Bottom