Dawa ya aleji

Dawa ya aleji

zilikusaidia?

Hakuna kitu...!huyu dogp nahakika ana pumu hawajajua tu..mie toka nna 8yrs nasumbuliwa tu yaan nawashwa tu macho yanakuwa red..yanaishia kunichoma sindano..kumbe bwana nna pumu...hv 2017 Kuna dk alinigundua nna pumu..so nikatibiwa kwa dawa za kisunna...sasa hv akuuuu...!hosp ujinga mtupu !nikianza km huyu mtoto nikaacha vyakula vya ngano had nyama😏😏😏😏
 
hata hizo dawa sio kwamba zinatibu bali husaidia kupunguza makali,dawa yake ni kukwepa kiinachokupa alej,kwa mtoto kuna umri anaweza fikia hiyo aleji ikapotea yenyewe
 
Inaweza potea kwa mwaka..ikarudi kwa kasi..zamani nilikua naona dawa za kisuna km majini jini hv..na ule udi bas napita mbali...hakuna dawa zinazoponesha km z kisuni...familia yangu yt nw tumehamia kwa dawa za kisuni..!nasema hakunaga
 
Hakuna kitu...!huyu dogp nahakika ana pumu hawajajua tu..mie toka nna 8yrs nasumbuliwa tu yaan nawashwa tu macho yanakuwa red..yanaishia kunichoma sindano..kumbe bwana nna pumu...hv 2017 Kuna dk alinigundua nna pumu..so nikatibiwa kwa dawa za kisunna...sasa hv akuuuu...!hosp ujinga mtupu !nikianza km huyu mtoto nikaacha vyakula vya ngano had nyama
 
Inaweza potea kwa mwaka..ikarudi kwa kasi..zamani nilikua naona dawa za kisuna km majini jini hv..na ule udi bas napita mbali...hakuna dawa zinazoponesha km z kisuni...familia yangu yt nw tumehamia kwa dawa za kisuni..!nasema hakunaga
Hizi dawa za kisuna zinapatikana mji gani na mtaalamu aliyekusaidia anapatikana mtaa gani
 
Mimi nina allergy muda mrefu ya nyanya na maziwa, ngano nimetumia dawa aina zote za hospital zimegoma dawa ni kuepuka vinginevyo hakuna kitu nimejaribu dawa nakutumia hivyo vyakula napata tabu sana ya mafua
 
Hizi dawa za kisuna zinapatikana mji gani na mtaalamu aliyekusaidia anapatikana mtaa gani

Madawa ya asili...mji wowote ule zipo..!ww uliza tu maduka ya dawa za kisuni...nara nyingi owners ni waislam..so mie naitaga maduka ya dawa za kiislam...!mie nilishakata Tamaa ya kuishi ..!ilikua worse!
 
Ila kwasasa umepata nafuu au bado unaipigania hali yako, maana kwa kweli mimi kila dawa ninayopewa ya asili au ya hospital inakataa najifariji tu inaweza ikatokea siku nikapewa ikawa ndio sahihi ila dokta alinishauri akaniambia wewe kaa tu ipo siku itapotea yenyewe
 
Mwanangu ana allergy ya Nanasi, yaani akila nanasi au juice yenye mchanganyiko wa nanasi. Anajikuna anavimba ngozi mwili mzima kama vile katembelewa na duduwasha
 
Ila kwasasa umepata nafuu au bado unaipigania hali yako, maana kwa kweli mimi kila dawa ninayopewa ya asili au ya hospital inakataa najifariji tu inaweza ikatokea siku nikapewa ikawa ndio sahihi ila dokta alinishauri akaniambia wewe kaa tu ipo siku itapotea yenyewe

Nimepona mkuu..niwe mkweli nimepona..ww unasumbuliwa na nn zaidi
 
Back
Top Bottom