Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Wakuu, nimekula matambi, ila sasa yamenikataa. Yaani hapa nimevimba vimba usoni kama nini.
Hii aleji inatibikaje?
Nitapendelea tiba iwe ki asili zaidi. manengelo unajua tiba?
zote zipo..mm zote nimekunywagaHizi dawa zinapatikana famasi kweli mbona majina magumu?
zilikusaidia?zote zipo..mm zote nimekunywaga
[emoji23][emoji23][emoji23]anywe dawa ya minyooMatambi ndo nn? huenda una minyoi
Dawa ni kuacha kula hayo matambiKwani kaka unajua dawa yoyote ya Asili?
Maana nimevimba vimba, na bado nazidi kuvimba.
zilikusaidia?
Matambi, namaanisha Tambi mama. Nimeambiawa ni Aleji ya Tambi. Tiba yake?Matambi ndo nn? huenda una minyoi
Matambi, namaanisha Tambi mama. Nimeambiawa ni Aleji ya Tambi. Tiba yake?
hata hizo dawa sio kwamba zinatibu bali husaidia kupunguza makali,dawa yake ni kukwepa kiinachokupa alej,kwa mtoto kuna umri anaweza fikia hiyo aleji ikapotea yenyewe
Hakuna kitu...!huyu dogp nahakika ana pumu hawajajua tu..mie toka nna 8yrs nasumbuliwa tu yaan nawashwa tu macho yanakuwa red..yanaishia kunichoma sindano..kumbe bwana nna pumu...hv 2017 Kuna dk alinigundua nna pumu..so nikatibiwa kwa dawa za kisunna...sasa hv akuuuu...!hosp ujinga mtupu !nikianza km huyu mtoto nikaacha vyakula vya ngano had nyama
Mfano ina kitu kinaitwa glutamine huwa inaleta allergy. Tafuta Rambo zisozo na glutamine
Hizi dawa za kisuna zinapatikana mji gani na mtaalamu aliyekusaidia anapatikana mtaa ganiInaweza potea kwa mwaka..ikarudi kwa kasi..zamani nilikua naona dawa za kisuna km majini jini hv..na ule udi bas napita mbali...hakuna dawa zinazoponesha km z kisuni...familia yangu yt nw tumehamia kwa dawa za kisuni..!nasema hakunaga
Hizi dawa za kisuna zinapatikana mji gani na mtaalamu aliyekusaidia anapatikana mtaa gani
Ila kwasasa umepata nafuu au bado unaipigania hali yako, maana kwa kweli mimi kila dawa ninayopewa ya asili au ya hospital inakataa najifariji tu inaweza ikatokea siku nikapewa ikawa ndio sahihi ila dokta alinishauri akaniambia wewe kaa tu ipo siku itapotea yenyeweMadawa ya asili...mji wowote ule zipo..!ww uliza tu maduka ya dawa za kisuni...nara nyingi owners ni waislam..so mie naitaga maduka ya dawa za kiislam...!mie nilishakata Tamaa ya kuishi ..!ilikua worse!
Ila kwasasa umepata nafuu au bado unaipigania hali yako, maana kwa kweli mimi kila dawa ninayopewa ya asili au ya hospital inakataa najifariji tu inaweza ikatokea siku nikapewa ikawa ndio sahihi ila dokta alinishauri akaniambia wewe kaa tu ipo siku itapotea yenyewe
Mafua ya mara kwa mara nikitumia hivyo vituNimepona mkuu..niwe mkweli nimepona..ww unasumbuliwa na nn zaidi