Kashi
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 897
- 745
Sawa mkuu.
Mi vyakula vyote nilivyoambiwa niache niliacha lakini wapi!!! And its five years tangu niugue mpaka nilishachoka khaaaa!
Mkuu keshaniPM ngoja nikuforwadie tulifanyie kazi.
Weka hadharani mkuu, utakuwa umewasaidia wengi wana matatizo haya.