Pole mwaya kuna kahawa flani....pamoja na bablish za kuleta ashki.....pia kuna mafuta flani ya kupaka kwenye uke ya kizungu lakn yametengenezwa na blackseed ama habbat souda yaani ukiyapaka tú baada ya nusu saa ni balaa mumeo asiende mbali otherwise ni majanga inshort zipo dawa za kila aina kwa nchi za wenzetu zilizoendelea niliziona kipind nikiwa CND....Prince Edward Island
Ata kwahapa dar zipo chache tu baadhi japo kuzipata ni mbinde lakin nenda Maryrose Cosmetics Posta Samora Avenue nami nilikua nasumbuliwa na tatizo kama lako ila saiv kushney naenjoy ndoa yangu vizur tu....sasa jarib kwenda hapo ukikosa nijulishe nikupunguzie haya mafuta na soon nkisafiri ntanunua mengine mengi zaid
NB.......Mtegemee Mungu lia na Mungu....thamini sana ndoa yako naamini utapona tu!!!!!!!!!
Hata sijui nichangie vp mada yako. Mm nina mke ambae hakuna na ashki ya mapenzi. Lakini nilipompata mm mambo yamebadirika mpaka yeye mwenyewe anajishangaa. Yaani ana ashki 100%
Hamu ya tendo la ndoa mbona kichwa cha habari kinajieleza mkuu
Nakumbuka saba saba ya mwaka jana niliingia banda la wazanzibar wanapouza viungo vya chakula kuna banda moja niliingia nikakuta kaka anauza vitu hivyo sikununua kwasababu me sina shida hiyo, nakushauri kama utakuwa hujapata ufumbuzi basi saba saba ya mwaka huu nenda banda la wazanzibar unaweza pata ufumbuzi
Yes mkuu angalia hapo chini nimefafanua tena
Sijawahi kupatwa na hizo hamu mpaka wenzangu walikua wakinishangaa ww ni mwanamke wa aina gani?lakn yote kwa yote nalia na Mungu tú
Ahsante sana jamani kama hutojali kungumanga naeza zipata wapi?
Jamani Ahsante mamy ntaenda leo leo na ntakupa feedback kama nimeyapata ama lah ikitokea nikayakosa hayo mafuta ama izo dawa nyingine kama hutojali ntakuPM nikupatie namba yangu ili unipunguzie japo kidogo hayo ulonayo na ntakupa taugh utakaposafiri uniletee na hayo mengine......ahsante.sana naipenda sana ndoa yangu na nampenda sana mume wangu ntalia na Mungu kama ulivyonishauri naamini kwake yeye hashindwi na jambo
Be blessed jamani!!!!!!.....Thanks