Dawa ya ashki kwa wanawake inahitajika(libido boost medicine)

Nakuambia ukweli mchungu, jichunguze tu ila nahisi, kunankitu haiko njema kati yako na mmeo, hata kama ni kidogo kama mbegu ya haradani. Ni hivi 'Somehow, somewhere, you are lying to yourself'
 
Pole mwaya kuna kahawa flani....pamoja na bablish za kuleta ashki.....pia kuna mafuta flani ya kupaka kwenye uke ya kizungu lakn yametengenezwa na blackseed ama habbat souda yaani ukiyapaka tú baada ya nusu saa ni balaa mumeo asiende mbali otherwise ni majanga inshort zipo dawa za kila aina kwa nchi za wenzetu zilizoendelea niliziona kipind nikiwa CND....Prince Edward Island

Ata kwahapa dar zipo chache tu baadhi japo kuzipata ni mbinde lakin nenda Maryrose Cosmetics Posta Samora Avenue nami nilikua nasumbuliwa na tatizo kama lako ila saiv kushney naenjoy ndoa yangu vizur tu....sasa jarib kwenda hapo ukikosa nijulishe nikupunguzie haya mafuta na soon nkisafiri ntanunua mengine mengi zaid

NB.......Mtegemee Mungu lia na Mungu....thamini sana ndoa yako naamini utapona tu!!!!!!!!!

Jamani Ahsante mamy ntaenda leo leo na ntakupa feedback kama nimeyapata ama lah ikitokea nikayakosa hayo mafuta ama izo dawa nyingine kama hutojali ntakuPM nikupatie namba yangu ili unipunguzie japo kidogo hayo ulonayo na ntakupa taugh utakaposafiri uniletee na hayo mengine......ahsante.sana naipenda sana ndoa yangu na nampenda sana mume wangu ntalia na Mungu kama ulivyonishauri naamini kwake yeye hashindwi na jambo

Be blessed jamani!!!!!!.....Thanks
 
Hata sijui nichangie vp mada yako. Mm nina mke ambae hakuna na ashki ya mapenzi. Lakini nilipompata mm mambo yamebadirika mpaka yeye mwenyewe anajishangaa. Yaani ana ashki 100%
 
Nakuambia ukweli mchungu, jichunguze tu ila nahisi, kunankitu haiko njema kati yako na mmeo, hata kama ni kidogo kama mbegu ya haradani. Ni hivi 'Somehow, somewhere, you are lying to yourself'

Thanks in advance.........!!!!!!!
 
Hata sijui nichangie vp mada yako. Mm nina mke ambae hakuna na ashki ya mapenzi. Lakini nilipompata mm mambo yamebadirika mpaka yeye mwenyewe anajishangaa. Yaani ana ashki 100%

Hahahaha ahsante kamanda!!!!!!!!
Naamini ntakua sawa tu Mungu Mkubwa
 
Nakumbuka saba saba ya mwaka jana niliingia banda la wazanzibar wanapouza viungo vya chakula kuna banda moja niliingia nikakuta kaka anauza vitu hivyo sikununua kwasababu me sina shida hiyo, nakushauri kama utakuwa hujapata ufumbuzi basi saba saba ya mwaka huu nenda banda la wazanzibar unaweza pata ufumbuzi
 
Ahsante mrsleo
Ushauri wako ntaufanyia kazi
 
Last edited by a moderator:
Yes mkuu angalia hapo chini nimefafanua tena
Sijawahi kupatwa na hizo hamu mpaka wenzangu walikua wakinishangaa ww ni mwanamke wa aina gani?lakn yote kwa yote nalia na Mungu tú

Kama hujawahi kupatwa na hamu kbs! Basi ni ni tofauti, kw sbb suala la ashki kupotea ni rahisi kulitibu ila kutokuwapo kbs ni isue sijui ila nadhani ni suala la kimaumbile zaidi!
Sorry sana bidada!
 
Pamoja kaka
Ahsante!!!!!
 
Kama huko huwezi tafuta wine kati ya amarula au st.Anne piga chupa moja sikilizia usiku kucha kama hazijashuka huko chini mmhh we si bure atiiiiii

Hahahaha ahsante kwa ushauri mkuu
Barikiwa sana
 
Jamani Ahsante mamy ntaenda leo leo na ntakupa feedback kama nimeyapata ama lah ikitokea nikayakosa hayo mafuta ama izo dawa nyingine kama hutojali ntakuPM nikupatie namba yangu ili unipunguzie japo kidogo hayo ulonayo na ntakupa taugh utakaposafiri uniletee na hayo mengine......ahsante.sana naipenda sana ndoa yangu na nampenda sana mume wangu ntalia na Mungu kama ulivyonishauri naamini kwake yeye hashindwi na jambo

Be blessed jamani!!!!!!.....Thanks

Usijali best we nenda ukikosa nijulishe mapema nkupunguzie hii nlonayo
 
Back
Top Bottom