Dawa ya ashki kwa wanawake inahitajika(libido boost medicine)

Pole sana,pendelea kula ndizi pia relax alafu hata supu ya pweza na samaki kwa wingi bila kusahau nyanya chungu.Kabla ya kufanya tendo jaribu kula vinavochangamsha damu kama chai ya tangawizi au kilevi kidogo alafu .
 
Ahsante kwa ushauri mkuu ntafanya ivyo
 
Ubarikiwe sana dada, umemsaidia sana huyu binti. Hakika ni wachache wenye moyo kama wako hasa wa kutaka kumpa hata kiasi cha dawa yako. God bless you abundantly.
 
Pole sana,pendelea kula ndizi pia relax alafu hata supu ya pweza na samaki kwa wingi bila kusahau nyanya chungu.Kabla ya kufanya tendo jaribu kula vinavochangamsha damu kama chai ya tangawizi au kilevi kidogo alafu .
Ndizi mbivu au mbichi za kupikwa au kukaanga, ila pia asante kwa msaada, mtaponya ndoa nyingi.
 
Ubarikiwe sana dada, umemsaidia sana huyu binti. Hakika ni wachache wenye moyo kama wako hasa wa kutaka kumpa hata kiasi cha dawa yako. God bless you abundantly.

Amiiiiin Mungu ambariki sana ni kweli mkuu kuna watu Mungu kawajalia roho za huruma
 
jitahidi kila siku ukitaka kukutana na huyo mumeo kunywa amarura au zanzi sio dawa lakini itakuwa inakusaidia sana, kunywa taratibu baada ya nusu saa au lisaa limoja utaona matokeo. jaribu harafu uje utoe feedback hapa au niPM
 
Ahsante mamy ntafanya ivyo!!!!!!!!
 
Nina solution ya tatizo lako! lakini kwanza naomba unijibu maswali haya mawili,kumbuka kila swali lina solution yake tofauti
1.Je,huwa unaota unafanya mapenzi usiku au wakati wowote?
2.Ulivyopima walikuambia homoni zako ziko sawa? Ipo dawa ambayo hutaitaji kutumia kila wakati wakati unapotaka kukutana na mumeo,hii itakupa suluhu ya kudumu.nimesaidia wengi wenye matatizo kama yako!

NB: MIMI SIO MGANGA WA KIENYEJI!
 
Hapana mkuu Sijawahi kuota ndoto ya kufanya mapenz ata siku moja

Pili walinifanyia tú ultra sound wakasema niko fit sina tatizo

Ahsante kwa msaada wako je hiyo dawa yako ni ya kizungu ama ya asili naww ni daktar ama?ntashukuru nkiipata iyo dawa mkuu nahitaji ufafanuz tafadhali
 
Mkuu hiyo dawa yenye suluhu ya kudumu inahitajika sana unaonaje ukadadavua kwa faida ya wote/?
Shukrani
 
Nitafutie Mbuzi mwenye rangi ya Zambarau, Mchele kilo mia mbili, Maharagwe debe nne,Sisimizi aliyefiwa na Mjomba wake MziziMkavu ya jiwe jeusi,Dhahabu karai mbili,kofia mbili za Polisi,pembe tatu za Ndovu na Faru moja,Nyusi za Simba mwenye miaka mnne dume, Vichwa viwili vya wachina waliokuwemo kwenye ndege ya Malaysia iliyopotea lete hivyo vitu nikutengenezee dawa... fanya fasta...si unataka uwe na haski? ukishindwa kuna watu wapo kufanya hiyo kazi watumie m-pesa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo dawa yenye suluhu ya kudumu inahitajika sana unaonaje ukadadavua kwa faida ya wote/?
Shukrani

Ni dawa iliyotengenezwa kutoka kwenye mimea asilia kutoka Marekani ( 100% Natural).No side Effect.
 
Ni dawa ya Kizungu ila imetengezwa kiasilia( 100% Natural). Sijasomea udaktari ila nini knowledge kuhusu treatment kuhusu dawa hizi! Karibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…