daniel kalasha
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 548
- 72
weka picha yako kwanza dawa ninayoHapana mkuu Sijawahi kutumia dawa yoyote ile nkiipata ntashukuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka picha yako kwanza dawa ninayoHapana mkuu Sijawahi kutumia dawa yoyote ile nkiipata ntashukuru
Hello wakuu
Kabla sijajiunga na JF
Nimekua nikipitia nyuzi mbali mbali hapa jamii forum kwa kila jukwaa na pia niliona nyuzi mbali mbali kuhusiana na kukosa hamu ya tendo kwa Wanawake pamoja na kusoma comments za wadau mbalimbali
Lakin stil sijaona suluhu yaani dawa ya kuleta ashki iliyopimwa mamlaka ya afya na kuthibitishwa katika matumiz.....nkaona ni vyema nikajisajili JF na kutoa hii post huenda nkapata msaada juu ya hili tatizo langu hii ndio post yangu ya kwanza mm humu JF sio mgeni mara nying napita juu tú na kusoma yaliyomo nkaona ni vyema nkawa member kabisa
Jaman nahitaji dawa ya ashki kwa yoyote mwenye nayo anisaidie tafadhali.ama anielekeze zinapopatikana tafadhali
Najitahidi sana kumuomba Mwenyez Mungu juu ya hili tatizo ila bado sijapata dawa wala ufumbuz ila najua Mungu ndio kila kitu.na ntapona ivyo kwangu Mwenyez Mungu ndio kila kitu
Njia nyingine
Nishaenda kwa psychologists but it doesn't.work.....nishaenda hospital but they told me I don't have any problem......nishachekiwa vipimo vya kila namna Sina jini mahaba wala nn na Sina stress zozote zile sababu naishi maisha mazuri sana ambayo kila mmoja angetamani ayapate
Lengo haswa la uzi huu nahitaji dawa tu nasio ushauri tafadhali naomba mnielewe.....nahitaji dawa ya ashki tú iwe ya mitishamba ama yoyote ile kikubwa iwe imethibitishwa kimatumizi
Kwa yoyote mwenye dawa ya ashki kwa Wanawake anipatie tafadhali ....sitaki jokes kua serious na kama huna mchango potezea tú
Nb nimeolewa na ndoa yangu bado ni changa!!!!!!!
Mwenye iyo dawa tujuzane.....Ahsanteni!!!!!!!!
Pole sana,pendelea kula ndizi pia relax alafu hata supu ya pweza na samaki kwa wingi bila kusahau nyanya chungu.Kabla ya kufanya tendo jaribu kula vinavochangamsha damu kama chai ya tangawizi au kilevi kidogo alafu .
Pole mwaya kuna kahawa flani....pamoja na bablish za kuleta ashki.....pia kuna mafuta flani ya kupaka kwenye uke ya kizungu lakn yametengenezwa na blackseed ama habbat souda yaani ukiyapaka tú baada ya nusu saa ni balaa mumeo asiende mbali otherwise ni majanga inshort zipo dawa za kila aina kwa nchi za wenzetu zilizoendelea niliziona kipind nikiwa CND....Prince Edward Island
Ata kwahapa dar zipo chache tu baadhi japo kuzipata ni mbinde lakin nenda Maryrose Cosmetics Posta Samora Avenue nami nilikua nasumbuliwa na tatizo kama lako ila saiv kushney naenjoy ndoa yangu vizur tu....sasa jarib kwenda hapo ukikosa nijulishe nikupunguzie haya mafuta na soon nkisafiri ntanunua mengine mengi zaid
NB.......Mtegemee Mungu lia na Mungu....thamini sana ndoa yako naamini utapona tu!!!!!!!!!
Ndizi mbivu au mbichi za kupikwa au kukaanga, ila pia asante kwa msaada, mtaponya ndoa nyingi.Pole sana,pendelea kula ndizi pia relax alafu hata supu ya pweza na samaki kwa wingi bila kusahau nyanya chungu.Kabla ya kufanya tendo jaribu kula vinavochangamsha damu kama chai ya tangawizi au kilevi kidogo alafu .
Ubarikiwe sana dada, umemsaidia sana huyu binti. Hakika ni wachache wenye moyo kama wako hasa wa kutaka kumpa hata kiasi cha dawa yako. God bless you abundantly.
jitahidi kila siku ukitaka kukutana na huyo mumeo kunywa amarura au zanzi sio dawa lakini itakuwa inakusaidia sana, kunywa taratibu baada ya nusu saa au lisaa limoja utaona matokeo. jaribu harafu uje utoe feedback hapa au niPM
Nina solution ya tatizo lako! lakini kwanza naomba unijibu maswali haya mawili,kumbuka kila swali lina solution yake tofauti
1.Je,huwa unaota unafanya mapenzi usiku au wakati wowote?
2.Ulivyopima walikuambia homoni zako ziko sawa? Ipo dawa ambayo hutaitaji kutumia kila wakati wakati unapotaka kukutana na mumeo,hii itakupa suluhu ya kudumu.nimesaidia wengi wenye matatizo kama yako!
NB: MIMI SIO MGANGA WA KIENYEJI!
Nina solution ya tatizo lako! lakini kwanza naomba unijibu maswali haya mawili,kumbuka kila swali lina solution yake tofauti
1.Je,huwa unaota unafanya mapenzi usiku au wakati wowote?
2.Ulivyopima walikuambia homoni zako ziko sawa? Ipo dawa ambayo hutaitaji kutumia kila wakati wakati unapotaka kukutana na mumeo,hii itakupa suluhu ya kudumu.nimesaidia wengi wenye matatizo kama yako!
NB: MIMI SIO MGANGA WA KIENYEJI!
kula kungu manga zinasaidia!una mapungufu ya hormones zozote nenda hospitali kacheki!!
Mkuu hiyo dawa yenye suluhu ya kudumu inahitajika sana unaonaje ukadadavua kwa faida ya wote/?
Shukrani
Hapana mkuu Sijawahi kuota ndoto ya kufanya mapenz ata siku moja
Pili walinifanyia tú ultra sound wakasema niko fit sina tatizo
Ahsante kwa msaada wako je hiyo dawa yako ni ya kizungu ama ya asili naww ni daktar ama?ntashukuru nkiipata iyo dawa mkuu nahitaji ufafanuz tafadhali