Dawa ya ashki kwa wanawake inahitajika(libido boost medicine)

Huna tatizo dada yangu, ila kinachokusumbua ni saikolojia, usiliwazie hilo tatizo lako unapokuwa na partner wako then utaona mabadiliko. Sometime inatokea unawaza unatatizo fulani then tatizo linakuja kweli.
 
Huna tatizo dada yangu, ila kinachokusumbua ni saikolojia, usiliwazie hilo tatizo lako unapokuwa na partner wako then utaona mabadiliko. Sometime inatokea unawaza unatatizo fulani then tatizo linakuja kweli.

Ahsante sana mkuu kwa mawazo yako mazuri hakika ntayafanyia kazi
 
We ungekuwa kanda.ya sues ningekushauri kitu sikufichi ungembaka hata houseboy wakokwa mizuka.ni pm tafadhari.


Si ufunguke hapa hapa mkuu kwa faida ya wote
Ahsante
 
Bado hujapata msaada?
unatakiwa ufike kileleni
ujisikie mgongo na kiuno unaachia....
 

Samahani kidogo. Jina la dawa linaitwaje? maana sijaelewa kwenye maelezo yako anaenda kutafuta Maryrose dawa gani hasa? Nadhani sijakupata hapo.
 
usilichukulie hilo kuwa tatizo lipuuze na uone ni mda tu ndio bado bt time wil reach ambapo utaenjoy . Mwambie mumeo muwe mnaizungumzia ngono kwa uwazi wake si kuongea kama pasta na muumini. It work for me. Na usije kuwaza kutoka nje.
 
usilichukulie hilo kuwa tatizo lipuuze na uone ni mda tu ndio bado bt time wil reach ambapo utaenjoy . Mwambie mumeo muwe mnaizungumzia ngono kwa uwazi wake si kuongea kama pasta na muumini. It work for me. Na usije kuwaza kutoka nje.
Ahsante sana kwa mawazo yako!!!!!!!
 
hili tatizo lina wakumba wengi sana si kina mama tu ,hata kina baba,,na mara nyingi chanzo huweza kuwa ni siku moja au mbili mume wako alishindwa kukufikisha kileleni hali hiyo ikajengeka akilini mwako na ndio chanzo cha tatizo lili anza na sehemu kubwa na walio wengi huwa ni psycological problem ambalo huwa linahitaji mind wiping, unatakiwa kuondoa yale mawazo ya mumeo kushindwa kukufikisha yaliyo wahi tokea.na kwa namna nyingine mnaweza kukaa mda mrefu kidogo bila kufanya mapenzi na siku mtakayo taka kufanya jaribuni kubadirisha mazingira ya kufanyia mapenzi ,mnaweza kutoka kwenda mbali kidogo na nyumban mkalala huko hata kwa siku moja au mbili na mkaanza na kuogeshana na vimichezo vya hapa na pale kimahaba mkiwa huko hata kama ni guest na wewe akili iwe kwenye kufurahia tendo sahau siku mlizo fail kumbuka zaid siku ulizo furahia mapenzi zaidi kabla ya tatizo kuliko siku ulizo shindwa.naamini itakusaidi kwani ninaorodha ndefu ya watu walio jaribu mbinu hii wakafanikiwa hadi sasa wanafurahia tendo.
 
lakini pia unaweza uka safiri kidogo kwa mda ka,a una likizo walau hata mwezi hivi na ukiwa huko unajenga mawazo ya kumkumbuka mumeo kimapenzi na siku mtakayo kutana tumia njia ile ya kubadilisha mazingira ya kufanyia tendo naamini mambo yatakuwa swafi dada angu.,
 
Kama ulivyosema huna tatizo lolote kimaisha na huna stress yyte (kitu ambacho hakuna duniani!!) basi wewe si binadam halisi, labda robot. wala usipoteze muda wako kutafuta dawa.
anyway labda zipo maeneo ya 0713. je umejaribu huko!?

Hapo red tu umeharibu yote uliyoongea juu!
...
:focus:
Nachelea kusema mleta mada anatudanganya! = Haiwezekani kuwa na ugonjwa aliosema kutokana na details alizotoa!
  • Doctor amesema hana tatizo lolote!
  • Pscholojist amesema hana tatizo lolote!
  • Hana jini Mahaba wala tatizo lolote la kishirikina!
  • Hajagombana na yeyote!
  • Mmewe anamuandaa vizuri!
  • Hisia zake zote anazipeleka ktk tendo wakati wa tendo!
...
Mleta mada usituchezee akili! Usitudanganye!
Ubaya zaidi unasema hujawahi kupata hizo ashki toka uzaliwe!
...
Haiwezekani mtu kukosa ashki na kumpenda mwenzie kimapenzi/romantic love!
...
Na kwa mujibu wa maelezo yako, hauwezi kupata dawa kwa sababu huna tatizo! Dawa hutibu tatizo ambapo wewe hauna hilo tatizo kwa mujibu wa maelezo yako na hatua ulizochukua kwa hao watabibu!
 
Ili kutest iwapo ashki zipo ila hazijiyokezi, kabla ya kujivijari na mumeo tazama movie za wakubwa. Natumai ashki zitajitokeza . Ama je umewahi kufanya hivyo?
 

kwa kiasi fulani naweza kukubaliana na wewe, amesema anamupenda sn mmewe???????????, labda angesema
anajirazimisha .


kwa kuwa huna hisia zozote sidhani kabisa kama utampenda
, kupenda kunaendana na hisia fulani fulani hasa
km ke/me, labdaaaaaaa. yote yote kama ni kweli Mungu akutetee. na nimepata elimu nitaitumia ili nikazie zd.
 
Mko kimya ndugu zangu
Mwenye hiyo dawa ama anaejua zinapopatikana anijuze tafadhali
Nahitaji dawa ya ashki tu!!!!!!!

Naamini niko kwenye jukwaa husika na ntapata suluhu kwa uwezo wa Mungu


Pole dear... Shadya9 Pole sana. Tumia mdalasini na asali mbichi ya nyuki wadogo kila siku mara mbili - asubuhi na jioni kwa muda wa mwezi mmoja mpaka miwili utaona mabadiliko. Dozi hii huwa inanisaidia sana sana. Kila la heri :juggle:
 
pole sana mamie binadamu tumeumbwa na maumbile tofauti ila naomba kuuliza kwa hyo wewe hujawahi kufika kilele cha maraha au ni ashk tu ndo huna utamu unapata kma kawaida?
 
Pole dear... Shadya9 Pole sana. Tumia mdalasini na asali mbichi ya nyuki wadogo kila siku mara mbili - asubuhi na jioni kwa muda wa mwezi mmoja mpaka miwili utaona mabadiliko. Dozi hii huwa inanisaidia sana sana. Kila la heri :juggle:

Ahsante dear ntafanya ivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…