gumboot
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 263
- 93
Ndizi mbivu au mbichi za kupikwa au kukaanga, ila pia asante kwa msaada, mtaponya ndoa nyingi.
yaani ndizi mbichi unapika na unaweka supu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndizi mbivu au mbichi za kupikwa au kukaanga, ila pia asante kwa msaada, mtaponya ndoa nyingi.
Huna tatizo dada yangu, ila kinachokusumbua ni saikolojia, usiliwazie hilo tatizo lako unapokuwa na partner wako then utaona mabadiliko. Sometime inatokea unawaza unatatizo fulani then tatizo linakuja kweli.
Pole mwaya kuna kahawa flani....pamoja na bablish za kuleta ashki.....pia kuna mafuta flani ya kupaka kwenye uke ya kizungu lakn yametengenezwa na blackseed ama habbat souda yaani ukiyapaka tú baada ya nusu saa ni balaa mumeo asiende mbali otherwise ni majanga inshort zipo dawa za kila aina kwa nchi za wenzetu zilizoendelea niliziona kipind nikiwa CND....Prince Edward Island
Ata kwahapa dar zipo chache tu baadhi japo kuzipata ni mbinde lakin nenda Maryrose Cosmetics Posta Samora Avenue nami nilikua nasumbuliwa na tatizo kama lako ila saiv kushney naenjoy ndoa yangu vizur tu....sasa jarib kwenda hapo ukikosa nijulishe nikupunguzie haya mafuta na soon nkisafiri ntanunua mengine mengi zaid
NB.......Mtegemee Mungu lia na Mungu....thamini sana ndoa yako naamini utapona tu!!!!!!!!!
Ahsante sana kwa mawazo yako!!!!!!!usilichukulie hilo kuwa tatizo lipuuze na uone ni mda tu ndio bado bt time wil reach ambapo utaenjoy . Mwambie mumeo muwe mnaizungumzia ngono kwa uwazi wake si kuongea kama pasta na muumini. It work for me. Na usije kuwaza kutoka nje.
Antenna aka king'amuzi kipo?
Kama ulivyosema huna tatizo lolote kimaisha na huna stress yyte (kitu ambacho hakuna duniani!!) basi wewe si binadam halisi, labda robot. wala usipoteze muda wako kutafuta dawa.
anyway labda zipo maeneo ya 0713. je umejaribu huko!?
Hapo red tu umeharibu yote uliyoongea juu!
...
:focus:
Nachelea kusema mleta mada anatudanganya! = Haiwezekani kuwa na ugonjwa aliosema kutokana na details alizotoa!
...
- Doctor amesema hana tatizo lolote!
- Pscholojist amesema hana tatizo lolote!
- Hana jini Mahaba wala tatizo lolote la kishirikina!
- Hajagombana na yeyote!
- Mmewe anamuandaa vizuri!
- Hisia zake zote anazipeleka ktk tendo wakati wa tendo!
Mleta mada usituchezee akili! Usitudanganye!
Ubaya zaidi unasema hujawahi kupata hizo ashki toka uzaliwe!
...
Haiwezekani mtu kukosa ashki na kumpenda mwenzie kimapenzi/romantic love!
...
Na kwa mujibu wa maelezo yako, hauwezi kupata dawa kwa sababu huna tatizo! Dawa hutibu tatizo ambapo wewe hauna hilo tatizo kwa mujibu wa maelezo yako na hatua ulizochukua kwa hao watabibu!
Mko kimya ndugu zangu
Mwenye hiyo dawa ama anaejua zinapopatikana anijuze tafadhali
Nahitaji dawa ya ashki tu!!!!!!!
Naamini niko kwenye jukwaa husika na ntapata suluhu kwa uwezo wa Mungu
Pole dear... Shadya9 Pole sana. Tumia mdalasini na asali mbichi ya nyuki wadogo kila siku mara mbili - asubuhi na jioni kwa muda wa mwezi mmoja mpaka miwili utaona mabadiliko. Dozi hii huwa inanisaidia sana sana. Kila la heri :juggle: