Dawa ya asili ya kiungulia ni nini jamani?

Dawa ya asili ya kiungulia ni nini jamani?

KITUNGUU maji ni kiungo kinachotumika hasa jikoni na wengi wamekuwa wakijua hivyo.


Lakini kiungo hiki kikifika kinapohitajika kwa ajili ya tiba jina lake ubadilika na kuitwa Allium Cepa.


Kitunguu maji kama kilivyo kitunguu swaumu ni viungo vya ajabu ambavyo vimeshatoa majibu katika tiba, na hasa pale linapokuja suala la ugonjwa wa kisukari.


Ndani ya kitunguu maji kunasadikika kuwepo tiba muhimu iitwayo kitaalamu kama Allyl Propyl Disulphide (APDS) na Diallyl Disulphide Oxide (Allicin) na mchanganyiko wa falconoids ambazo hutibu maradhi na kuihakikishia damu mtiririko unaotakiwa kusambaa mwilini kwa uhakika zaidi.


Kitunguu maji ni chanzo kikubwa cha madini ya chromium yanayohitajika sana katika kazi ya kurekebisha kiwango cha sukari katika damu kwa kuziwezesha insulin kufanya kazi yake vizuri.


Dk. Mohamed Mkweli wa Kliniki ya Afya Bora anasema tafiti zilizowahi kufanywa zilibaini kuwa kitunguu maji kiwe kimepikwa au kibichi kinapofika kazini uwezo wake kiutendaji unabaki kuwa ni uleule japo kinapungua nguvu kidogo kikipikwa kwa vile baadhi ya ubora hupotea jikoni.


Anasema kuwa watafiti waliridhika na kukipa hadhi ya kuwa tiba kwa wagonjwa wa kisukari.


Anaendelea kueleza kuwa viini vyenye athari nzuri katika kitunguu maji ni Vitamin C inayozuia kukua kwa bakteria kwenye jeraha, ngozi.


Anasema kuwa pia ndani yake kunapatikana madini ya salfa, chuma na vitamini zinazotia nguvu mishipa.


Madhara


Kitunguu maji ni aina ya mboga ya yungiyungi, japo kina harufu kali inayochangamsha.


Anaeleza kuwa anayekitumia kitunguu maji anatakiwa ajihadhari kukitumia baada ya kukihifadhi kikiwa kimekatwakatwa, kwa sababu hufanya oksaidi na huwa kiini chenye sumu, kwa hivyo yatakiwa kitumiwe kikiwa freshi.


Tiba


Dk. Mkweli anasema imethibitishwa kisayansi kuwa juisi ya kitunguu maji huua vijidudu vya kinamasi na vya kifua kikuu, hufa baada tu ya kunusa moshi wake.


Anasema kuwa kitunguu maji kikitengenezwa kama kachumbari, ukali wake hupungua na hutia nguvu mwilini.


Pia anasema huongeza hamu ya kula na huimarisha misuli, hulainisha tumbo na kikipikwa na kuongezewa dawa nyingine husaidia na kuzidisha nguvu za kiume.


"Unajua kiungo hiki ni dawa sana kikitumika kwa kufuata ushauri wa daktari, kwani hufungua vizuizi mwilini, hutia nguvu za manii kwa mwanamke na mwanaume hasa kikipikwa kwa nyama, pia huondoa homa ya manjano," anasema.


Dk. Mkweli anasema ndani ya kitunguu maji kuna nguvu zaidi kuliko penisilini na hivyo hupoza kifua kikuu, kaswende na kisonono na huua aina ya vijidudu vya hatari.


Anasema kuwa magonjwa mengine yanayotibiwa na kitunguu maji ni pumu, uvimbe wa pafu, vidonda vya saratani, mvilio wa damu, majipu, chunusi, ukurutu, figo na vijiwe, kikohozi kwa wakubwa na wadogo, macho na pia hupunguza uzito.


Dk. Mkweli anawashauri watu wapendelee kutumia kitunguu maji kwa ajili ya kinga na tiba ya maradhi katika miili yao.


Na imethibitika kuwa wagonjwa wengi waliowahi kutumia tiba ya kitunguu maji kwa muda mrefu wamepata nafuu na wengine hupona kabisa maradhi yao.


Aidha, anasema na wale wagonjwa wanaosumbuliwa na matatizo ya nguvu za kiume wanashauriwa watafune kitunguu maji kibichi na kama tatizo litaendelea ni vyema kukutana na watibabu.


Kwa mgonjwa wa mapunye na kunyonyoka nywele kichwani Dk. Mkweli anasema wanaweza kujitibu kwa kukipondaponda vizuri, halafu wakachanganya na mafuta ya zaituni, kisha wakapaka kichwani hadi watakapoona tatizo limekwisha.


Lakini anamaliza kwa kusema wanaosumbuliwa na magonjwa makubwa kama figo, kisukari, shinikizo la damu ni vyema wakakutana na daktari ili kupata mchanganyiko wa dawa ambao ndani yake una kitunguu maji.
 
Njia nyingine ni kuacha kutumia chakula kinachosababisha upatwe na kiungulia kwa muda,mm nilisumbuliwa na kiungulia nikiwa a level nikaacha kula maharage baada ya kujua ndio chanzo kwa muda wa kama mwaka na mpaka ss niko poa na naweza kutumia hata hayo maharagwe bila shida tambua kisababishi ndio utapata dawa
 
naomba umpe anti yako anywe hiyo spirit na mafuta ya taa then utanipa feedback,. watu wengine sijui wakoje, try to be seriouse watu tupo jf kwa ajili ya kuelimishana na si kuleta utani mahala penye userious,.kama huna la kushauri bora uache na si kumwambia mtu eti anywe mafuta ya taa> its terrible........:A S cry:

Sidhani kama anakutania. Mimi nilichoona na yeye ametumia fursa hii kueleza matatizo yake ya akili.

Mkuu MziziMkavu, once again tunaomba msaada wako, iwe kutoka Masri au Lebanon we don't care much, what we need ni salvation ya mental health ya Majigo.
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama anakutania. Mimi nilichoona na yeye ametumia fursa hii kueleza matatizo yake ya akili.

Mkuu MziziMkavu, once again tunaomba msaada wako, iwe kutoka Masri au Lebanon we don't care much, what we need ni salvation ya mental health ya Majigo.
Mkuu Mwana Mtoka Pabaya Ushauri wa Mkuu.@Majigo Kumwambia mtu Eti anywe Mafuta ya Taa na Spiriti ahh huo ni ushauri wa kiwenda wazimu sio ushauri mzuri kabisa mkuu.
 
Mimi nina tatizo, kuna kitu kinazurura rohon. Nikimeza hakimezeki nikitapika hakitoki, nikikohoa sana sana nato kohozi jeupe. Kinanikera sana msaada tafadhali.
 
HII NDIO TIBA YAKO

Kwa nini ununue bidhaa za Aloe vera za Forever Living?
Wakati unaweza kununua bidha nyinginezo za aloe vera kwa bei che!?
Sisi ni wakulima na wasambazaji namba moja duniani wa bidhaa za Aloe vera.
Tunasimamia na kuendesha mfumo wote wa uzalishaji wa bidhaa,
kuanzia upandaji pasipo kutumia mbolea za kemikali na mbolea za
chumvi chumvi, uvunaji, kiwandani mpaka bidhaa inapomfikia mteja
Haichemshwi, joto kali likitumika katika maandalizi ya Aloe vera,
huharibu virutubisho

FAIDA ZA KUTUMIA ALOE VERA GEL yetu ni kama zifuavyo

- Ni sawasawa na jani la Aloe vera lililotoka shambani kwa asilimia 97%,
kulingana na maelezo ya FDA Food & drugs Authority USA
- Ni bidhaa pekee katika soko la Tanzania zilizo na muhuri wa viwango wa
Aloe vera unaotolewa na International Aloe Science council
- Ina virutubisho na madini mbalimbali, ikiwemo vitamin B12, ambayo ni
nadra sana kupatikana kwenye mimea
- Ina folic Acid
- Ina Amino acids Zaidi ya 18, ambapo 7 kati ya hizo ni muhimu sana katika
ukuwaji wa chembe chembe za uhai katika mwili wa binadamu.
- Inasaidia mwili wa mwanadamu kupambana na matatizo mbalimbali
katika mwili
• Matatizo ya mmengenyo wa chakula
• Acid kuzidi tumboni
• Kurutubisha ngozi, kwa kuondoa seli zilizokufa na kutengeneza mpya
• Kuondoa vimbe mbali mbali ndani nan je ya mwili
• Kuongezea mwili nguvu ya kinga
• Kusafisha sumu zinazotokana na vyakula, madawa, pombe, sigara,
msongo wa mawazo (stress) n.k.
• Huimarisha mzunguko wa damu, mishipa ya damu na kuyeyusha
damu na mafuta yaliyoganda
• Ni lishe tosha katika mwili wa mwanadamu.

BEI ---------- Tshs 43,000
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa +255752720276





 
Unaweza ona ushauri wangu ukaona ni wa masihara na kuudharau ila ndo msaada kwako jaribu kula kiasi kidogo cha karanga mbichi kila unapohisi kiungulia..afu uje unipe feedback
 
Unawza kuona ushauri wangu wa masihara na kuudharau ila ndio msaada kwako....Kula karanga mbich kiasi kila unapohisi kiungulia, uje unipe feedback sawa?
 
Unawza kuona ushauri wangu wa masihara na kuudharau ila ndio msaada kwako....Kula karanga mbich kiasi kila unapohisi kiungulia, uje unipe feedback sawa?

Nakuunga mkono mkuu karanga zilisaidia kipind nasoma shule si unajua tena maharage ya boarding ila sio tiba kukomesha kabisa.
 
Unawza kuona ushauri wangu wa masihara na kuudharau ila ndio msaada kwako....Kula karanga mbich kiasi kila unapohisi kiungulia, uje unipe feedback sawa?

Nakuunga mkono mkuu karanga zilisaidia kipind nasoma shule si unajua tena maharage ya boarding.
 
Back
Top Bottom