Baba Mtakatifu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2017 Posts 1,332 Reaction score 2,465 Mar 10, 2018 #1 Wakuu habari, Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza, kuna mtu anatafuta dawa ya asili ya kutibu koromeo kuwasha... Yaan haipiti sekunde anafanya "ahha ahha " nafkiri mnajua huo mlio... Yani kama anasafisha kitu kimemkwama.
Wakuu habari, Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza, kuna mtu anatafuta dawa ya asili ya kutibu koromeo kuwasha... Yaan haipiti sekunde anafanya "ahha ahha " nafkiri mnajua huo mlio... Yani kama anasafisha kitu kimemkwama.
Jolie Jolie JF-Expert Member Joined Dec 28, 2017 Posts 7,406 Reaction score 13,806 Mar 10, 2018 #2 Yaan kubanja sio?
Baba Mtakatifu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2017 Posts 1,332 Reaction score 2,465 Mar 10, 2018 Thread starter #3 Jolie Jolie said: Yaan kubanja sio? Click to expand... Sio kubanja.... Yaan anahisi kama kitu kinamkereketa kooni
Jolie Jolie said: Yaan kubanja sio? Click to expand... Sio kubanja.... Yaan anahisi kama kitu kinamkereketa kooni
PAZIA 3 JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 1,102 Reaction score 1,919 Mar 10, 2018 #4 hali hiyo huwa siipendi balaa,tumia maji ya vuguvugu yenye chumvi kiasi,fanya kama unayameza kisha unatema,kila siku asubuhi kwa muda wa siku 7
hali hiyo huwa siipendi balaa,tumia maji ya vuguvugu yenye chumvi kiasi,fanya kama unayameza kisha unatema,kila siku asubuhi kwa muda wa siku 7
Baba Mtakatifu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2017 Posts 1,332 Reaction score 2,465 Mar 11, 2018 Thread starter #5 PAZIA 3 said: hali hiyo huwa siipendi balaa,tumia maji ya vuguvugu yenye chumvi kiasi,fanya kama unayameza kisha unatema,kila siku asubuhi kwa muda wa siku 7 Click to expand... Kumbe
PAZIA 3 said: hali hiyo huwa siipendi balaa,tumia maji ya vuguvugu yenye chumvi kiasi,fanya kama unayameza kisha unatema,kila siku asubuhi kwa muda wa siku 7 Click to expand... Kumbe